Kwa uelewa na uzoefu wangu mtoto wa miezi miwili mfumo wake wa chakula haujakomaa na pia hauwezi himili maziwa ya ngombe. Ndiyo maana kama maziwa ya mama hayapatikani kuna maziwa ya unga ambayo yana virutubisho kwa viwango vinavyotakiwa kwa ajili ya mtoto mchanga.Habari wana jf wenzangu, samahani naomba mnisaidie naweza kumpa maziwa ya ng'ombe mtoto mdogo wa miezi miwili?? Nakama naweza kumpa naomba mnisaidie nayachanganya vipi ili nimpe natanguliza shukrani
Miezi 6 sio mwakaWanashauri ni hadi afike mwaka mmoja.
Swali langu kwa wachangiaji wengine ni kwamba kwanini maziwa ya lactogen ya south africa yanazuiwa sana. Na ni bei poa sana