Mtoto wa miaka 8 kileleni k'njaro.

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
377
216
Nilikuwa naangalia habari cnn,wamemwonyesha dogo wa miaka 8 kilelen mlima kilimanjaro. Main aim wa to raise fund kwa watu wenye ulemavu.
Source:Isha Sesay CNN
 
anahaki ya kufika maana kilimanjaro ya sasa sio ya miaka kumi iliyopita. Na kadiri miaka inavyozidi kwenda itazidiwa hata na kitonga.
 
Anastahili pongezi:
01-climb.jpeg

kweli mkuu hyo si kilimanjaro nliyopanda mie 2003, we nlikuwa na 17 lakn hali ilikuwa ngumu, kwanza hata baada ya kufika kilelen sikumbuki kati yetu kama kuna hata mmoja alikuwa anatabasam kwa jinc tulivyokuwa hoi, anyway hongera zake mtoto wa kizungu..................
anahaki ya kufika maana kilimanjaro ya sasa sio ya miaka kumi iliyopita. Na kadiri miaka inavyozidi kwenda itazidiwa hata na kitonga.
 
Back
Top Bottom