Mtoto wa miaka 14 aajirwa space X? Sisi tunawakomalia tuition?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,709
6,505
Ninaamini kwa mitala yetu hii mibovu, hawa watoto watapata shida sana mbele ya safari, angalau sisi wakati tunaitimia sayansi haikuwa kwa kiwango cha kutisha.

Cha ajabu wazazi wengi wanajua fika hatari ya hii mitala ila wamekomaaa kuwaingiza watoto wao cha kike, Wazazi wanazania mtoto ili awe kichwa kweli kweli anapaswa kusoma kila siku, kila wiki, kila mwezi na mwaka mzika.

Ndio maana likizo badala mtoto apumizike a degest yale alio yasoma shuleni still anashindiliwa Tuition, sasa Tuition zenyewe utachoka, tuition za masomo ya Arts.

Hivi mtoto anaenda Tuition ya Kiswahili, English, History, Civics, Geograph ili iweje?

Au mtoto wa chekechea anaenda tuition ili iweje?

Miaka 15 kutoka sasa hawa watoto watatulaumu sana kwa sababu tulijua mitala haifai ila hatukuwasaidia chochote zaidi ya kusaidia kuwaingiza shimoni.
Screenshot_20230629_082053_com.facebook.katana.jpg
 
Ninaamini kwa mitala yetu hii mibovu, hawa watoto watapata shida sana mbele ya safari, angalau sisi wakati tunaitimia sayansi haikuwa kwa kiwango cha kutisha.

Cha ajabu wazazi wengi wanajua fika hatari ya hii mitala ila wamekomaaa kuwaingiza watoto wao cha kike, Wazazi wanazania mtoto ili awe kichwa kweli kweli anapaswa kusoma kila siku, kila wiki, kila mwezi na mwaka mzika.

Ndio maana likizo badala mtoto apumizike a degest yale alio yasoma shuleni still anashindiliwa Tuition, sasa Tuition zenyewe utachoka, tuition za masomo ya Arts.

Hivi mtoto anaenda Tuition ya Kiswahili, English, History, Civics, Geograph ili iweje?

Au mtoto wa chekechea anaenda tuition ili iweje?

Miaka 15 kutoka sasa hawa watoto watatulaumu sana kwa sababu tulijua mitala haifai ila hatukuwasaidia chochote zaidi ya kusaidia kuwaingiza shimoni.View attachment 2672578
Huyu dogo ana IQ kubwa na kabla ya space x alikuwa nafanya kazi kampuni nyingine. Ni exceptional sio mtoto wa kawaida
 
Ninaamini kwa mitala yetu hii mibovu, hawa watoto watapata shida sana mbele ya safari, angalau sisi wakati tunaitimia sayansi haikuwa kwa kiwango cha kutisha.

Cha ajabu wazazi wengi wanajua fika hatari ya hii mitala ila wamekomaaa kuwaingiza watoto wao cha kike, Wazazi wanazania mtoto ili awe kichwa kweli kweli anapaswa kusoma kila siku, kila wiki, kila mwezi na mwaka mzika.

Ndio maana likizo badala mtoto apumizike a degest yale alio yasoma shuleni still anashindiliwa Tuition, sasa Tuition zenyewe utachoka, tuition za masomo ya Arts.

Hivi mtoto anaenda Tuition ya Kiswahili, English, History, Civics, Geograph ili iweje?

Au mtoto wa chekechea anaenda tuition ili iweje?

Miaka 15 kutoka sasa hawa watoto watatulaumu sana kwa sababu tulijua mitala haifai ila hatukuwasaidia chochote zaidi ya kusaidia kuwaingiza shimoni.View attachment 2672578
Elon musk watoto wake wote hawasomi hizi shule za kawaida tulizo zoea amafungua shule yake na mpaka mara ya mwisho alikuwa na wanafunzi 24 wanasoma innovation na technology tu hakuna kumeza vitini na ni miongoni mwa matajiri ambao hawapendi ujinga jamaa yupo against homosexuality yupo against depopulatuon na ana watoto kibao kiufupi jamaa ni miongoni mwa watu poa sana licha ya kuwa na ukwasi wa kutosha sio kama kina bill gate.
 
Mh! Labour law inakataza ajira kwa watoto. Hapa ilikuwaje. Bt nimeelewa uwezo wa huyo mtoto. Naomba UFAFANUZI plz
 
Nikikumbuka nilisoma majimaji war, shona and ndebele war, nikasoma aljebra, nikapiga probability hadi simultaneous lakini hakuna sehemu yoyote napotumia hapa kwenye maisha yangu ndio najua tulikua tunapotezeana muda tu
 
Ukija mtaani hukutani na algebra unakutana na chuma ulete
Sasa ndo utajui hujui
 
Elon musk watoto wake wote hawasomi hizi shule za kawaida tulizo zoea amafungua shule yake na mpaka mara ya mwisho alikuwa na wanafunzi 24 wanasoma innovation na technology tu hakuna kumeza vitini na ni miongoni mwa matajiri ambao hawapendi ujinga jamaa yupo against homosexuality yupo against depopulatuon na ana watoto kibao kiufupi jamaa ni miongoni mwa watu poa sana licha ya kuwa na ukwasi wa kutosha sio kama kina bill gate.
Mimi huwa nasema elon ni nabii kwenye ulimwengu huu uliopotea
 
Kabla ya kubadili mitaala je, sisi wenyewe tuko tayari kubadilika? Bongo tunasifiana kula tunda kimasihara bila kujali kesho ya hizo mimba. Leo hii ni familia chache sana hasa za wafanyakazi wa serikali ndo zina bima ya afya. Familia nyingi zinashindwa kumudu tu chakula kizuri kwa ukuaji mzuri wa mtoto. Nadhani kabla ya mitaala kila mtu afikirie kwa makini kuanzia kabla ya tunda kimasikhara hadi pale mtoto anazaliwa na malezi yake. Wewe unalisha mtoto ugali na dagaa mchele halafu unataka awe sawa na mtoto wa Beberu? Wengine wamewatelekeza. Huko Njombe wazazi/walezi hawataki hata kununua tu sare za shule...
 
Back
Top Bottom