Mtoto wa kisukuma

Kusema ukweli ukipata mke wa Kisukuma ambaye kakulia kijijini kisha kasoma na hajachakachuliwa na u-mjini basi umepata mke hasa. Wewe mpende na umjali maisha yatakuwa mswano kwelikweli.
 
Duh kumbe shemeji zangu wengi hvyo humu ndani! Akina Dinazarde nipeni heshima yangu nisije nikawarudishia dada yenu!
 
Back
Top Bottom