mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

Status
Not open for further replies.

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,909
2,477
mtoto wa kipalestina anasaidiwa na wapita njia baada ya kupigwa bomu katika mguu wake na wanajeshi wa Israel.

mtoto.jpg
 
duh awa mayahudi ni mijamaa kama wanyama hatari, ndo hata mzee hittler aliwatia adabu, mambo gani aya.?? its too bad
 
Inauma kwa kweli.Naomba niulize kama mtoto wako kafanyiwa hivyo kweli roho yako itakuwa sawa kwa mtu aliyemfanya mtoto wako hivyo.Kweli hili ni Taifa la Shetani ni kinyume wanavyofikiri.
 
Allah Akbar... Duh

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Hivi tanzania waisrael wanaishi maeneo ya wapi?nataka kuwashikisha adabu
 
Propaganda. Vita havina macho. Au majeshi ya Israel walim-single out huyo mtoto?
 
Matola atakuambia udini picha sio ya kweli...hawa jamaa ni wanyama hawana ubinadamu hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
kwamba unataka kutetea huo unyama au?
Laiti hizi dini tusingeletewa nadhani africa tungeishi raha mustarehe.

yah ni very true izi dini basi tu, ndo ata leo mara utasikia uamsho, kachukia muungano kachoma kanisa vitu viwili tofauti, mara wanakanusha hawajausika lakini walochoma walitokea ktk mkutano wao, alot of confusion
 
Kwamba unataka kutetea huo unyama au?
Laiti hizi dini tusingeletewa nadhani Africa tungeishi raha mustarehe.

Mara nyingi kumekuwa na attempts za waarabu kuonyesha picha za watoto wa kipalestina waliojeruhiwa na majeshi ya Israeli kwa lengo la ku-win moral support. Hizi ni propaganda zinazowameza watu wasio wachunguzi wa mambo. Hapa siongelei dini wala imani. Mie si myahudi. Lakini ukijiuliza ja ni kweli huyu mtoto aliuwawa kwa maksudi? Vita baina ya wapalestina na waisraeli havina demarcation, kama ulikuwa hujui. Wenzako hao wapigana tokea majumbani mwao, mahospitalini, mashuleni etc. Sasa unapoona picha kama hizo isikimbilie kuamua mkosaji nani. Katika vita kuna kitu kinaitwa legitimate target. Tafiti hiyo kitu halafu urudi tena.
 
baba wa taifa unachotaka kutuambia kuwa wa palestina wanamakosa na israel hawan? Maana gaza walipiga kura na kushinda hamas kwasbb ya wao kukosa mahusiano na marekani na israel wamefungiwa kupitisha kwa maji masafi fuel na umeme,sasa kama wapalestina wamewachagua na marekani inajulikana kwa democracy kivipi wawakatalie uhuru wao? Na kutaka kuweka serikali kibarua? Alafu watu wakidai haki wanpigwa? Ushahidi upo wakutosha hata kwa upande wa un kuwa israel anajenga makazi katika ardhi ya palestina na unachosikia ni kuwa un inasikitishwa basi hakuna vitendo wala nini? Lkn angefanya palestina au nchi za kiarabu za jirani ungeona un inavo fanya juu chini jeshi liandaliwe liingie kupiga na wewe bado unatetea? Au ni wale wale wa kuwa israel ni taifa la mungu?
 
kabla hawajaondoka kwa mara ya kwanza kabisa, waisrael walikuwa wanaishi wapi? Na Jerusalem ilikuwa chini ya nani?
 
Dah!Kweli UN ina kazi gani mbona iko biased to such extent kila siku maskini WAPALESTINA wanavunjiwa nyumba zao na wanajeshi wa israel na makazi mapya ya walowezi wa israel yanajengwa mbaya zaidi UN,US,UK,EU nk wanaishia kulaumu tu bila kuchukua hatua..sipati picha leo CDM tuichague wenyewe then mataifa makubwa ya i blacklist eti ni magaidi na uku tumeiweka madarakani then wa impose bloakade za majini, angani ata ardhini kila kitu kipitie israel na UN ipo...inatia uchungu kila siku eti wapalestina kadhaa wameuawa kwa mashambulio ya anga..somo tunalojifunza ni haki haipatikani kiurahisi wapo watakao dhulumiwa viuongo km huyu mtoto,wapo watakao fungwa nk majeshi,vifaru, na siraha nzito hazimfanyi mtu ashindwe kudai haki yake ata kwa jiwe atapambana na mwisho atashinda
 
mtoto wa kipalestina anasaidiwa na wapita njia baada ya kupigwa bomu katika mguu wake na wanajeshi wa Israel.

View attachment 55299
Huruma ianze ndani ya mipaka yetu kwanza, kabla hatujafikiria kuhusu Palestina na Israel. Kuna watu wamekufa Arusha, Mbeya, Songea, Zanzibar n.k. walipokuwa wakidai haki yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom