majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
Hawa jamaa ni wanyama sana kama wale wanyama wa Zanzibar waliochoma Makanisa. Mungu awalaani hawa wanyama waliochoma makanisa Zenji ambao wapo karibu na nchi yangu, lazima kwanza nianze kutoa boliti ndani ya jicho langu halafu ndio niangaike na kibanzi kilicho katika jicho la mwenzangu.Matola atakuambia udini picha sio ya kweli...hawa jamaa ni wanyama hawana ubinadamu hata kidogo.
Last edited by a moderator: