I love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.
cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.
hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mama
Familia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yangu
I love you papa.
Mimi kwa mtazamo wangu naona sababu kuubwa ni kwamba, mara nyingi watoto huwa muda mwingi wanakuwa na mama zao, na utakuta mama anamkanya baadhi ya mambo binti yake na mara nyingi anamkalipia na hata kumpiga. Na mama huwa anapenda mtoto wake hasa wa kike afanye kazi zote za ndani kama binti, sasa kadiri anavyotumwa na mama yeye mtoto ana-develop kichwani mwake kwamba mama ni mkali na mkatili kwake lakini lengo si hilo na mara nyingi baba si mwepesi wa kumpiga au kumfokea mtoto hasa wa kike.Na baba akitoka kazini yeye anakuja na zawadi atawaita watoto sebuleni atawapa zawadi watafurahi sana na kwa baba zawadi ni zawadi hata kama inagharimu kiasi gani yeye atanunua tu, ila mama, ni very reasoning wakati ananunua zawadi za watoto, atanunua zawadi ambazo kwanza zinaendana na watoto na gharama pia inagwa watoto watamuona mama kana kwamba hawapendi vile kumbe si hivyo. Hii mara kwa uzoefu wangu mdogo naona ndiyo sababu inayopelekea mtoto wa kike ampende baba kuliko mama.
Duh una moyo kweli kweli. Hata baada ya kukupotezea bado unamthamini baba kuliko mama! Samahani kama nimekuudhi lakini nadhani kukosa hayo mapenzi yake ndiyo unajilazimisha kwake.
Ina tatizo gani?Hebu toa hiyo Avetar yako kwanza kama hutajali!
Hii story imenigusa sana,
wakati niko form 5 (miaka 11 iliyopita) bahati mbaya nlimpa msichana mmoja mimba.
Kwa ajili ya utoto niseme nikamkana yule mtoto.
Yule dada alijifungua na mtoto kuja utasema ni mimi wakati niko mdogo bila kujali yeye ni wakike.
Mpaka ikafikia baba yangu akamchukua kukaa nae nyumbani potelea mbali hata kama nimemkataa, ingawa story na mama mtoto zikawa ndo zimeishia hapo.
Basi bwana katoto kakawa kananipenda kweli, mpaka ikabidi nije niseme ukweli ni wangu, na mpaka nikahama nyumbani ili nikajitegemee kanalia nisihame.
Mpaka sasa ninaishi nae kananipenda kweli,
kakifunga likizo hakataki kwenda kwa mama yake.
Nina miaka sasa 30 sasa, na yeye 11, na
kwa anavyokua haraka nafikiri kumtafutia mama wa kumlea lakin naogopa atapoteza furaha, uchangamfu na upendo wake kwangu.
It is true 22nd,wadada a.k.a wamama wenyewe wa siku hizi wanaeleweka basi?ni vile tu mtoto wenyewe wa kike lasivyo ningekausha tu nkafikiria issue zinginemtafutie the right mother, kabla haujaoa jaribu kuona uhusiano wa mtoto na mke mtarajiwa, ila angalia sometimes wanawake wanabadilika wakishaolewa na kuonyesha the true color
Kama mzee ana hela na status anaachaje kumpenda?😅unadhani unampenda, ila hujajua kama unajipendekeza. Na babako anajua unajipendekeza ndo maana amekususa japo umefika hadi chuo. Mapenzi ya kweli lazima yawe na msingi wake, hayo yako kwa babako hayana msingi wowote labda una ajenda binfsi.
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake. Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close sana, eti anakuwa kama anamuonea wivu mama yake. Sikuitilia maanani kauli hii ila sasa nimehamasika kupata maana yake ya ndani,
Wana jamvi hii maana yake nini?
umelogwaI love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.
cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.
hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mama
Familia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yangu
I love you papa.
Kwa hiyo hata mimi niliyekutoa bikra haunipendi kweli??I love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.
cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.
hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mama
Familia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yangu
I love you papa.
unadhani unampenda, ila hujajua kama unajipendekeza. Na babako anajua unajipendekeza ndo maana amekususa japo umefika hadi chuo. Mapenzi ya kweli lazima yawe na msingi wake, hayo yako kwa babako hayana msingi wowote labda una ajenda binfsi.
Lembebez anakwambia betina anapenda ndugu wenye PhD.Kama mzee ana hela na status anaachaje kumpenda?😅