Mtoto wa Kigogo ahonga sh.40m/= na kukabidhiwa Faili la Ugonjwa wa Mwakyembe

dahhhh, jioni ifike nikagide ugimbi

LAT utanilaza njaa mkuu maana nimekutana na post yako imenifurahisha sana,maana hata mimi nimesoma post hii nikasikia kugida ugimbi,hii kali lakini jambo hili kama litachapishwa kwa kuchakachuliwa basi huenda mwingine atakuja na ripoti halisi
 
ushauri wangu kwa Sitta.
kama mwenzake anahangaika kwa njia za panya kujisafisha kwa nini na Sitta asitumie na yeye? kwa mfano ningekuwa mimi ni Sitta ningefoji my own attempted murder, may be weak poison or even a bullet, that way itajulikana kuwa nawindwa na mimi kwa maneno yangu na sakata litaendelea,
an eye for an eye, its biblical
 
masimulizi yanaendlea, na sisi tunasikiliza!!! karibu sana!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu ni Mwakyembe mwenyewe amekuja kuchafua hewa hapa. Mwaka 2010 alitumia sana hiyo 40million na 400million kwamba zimemwagwa Kyela.Kalengamab topic zake ni zile zilizo pro Mwakyembe,Sitta na Nape na zile zilizo against Mamvi.Hii ni Habari ya kutungwa tu na imetoka kwa Mwakyembe mwenyewe na Millioni zake 40 kila wakati,sijuhi hana namba zingine , kila mara million 40.
 
Ukifuatilia haya maelezo ni wazi anamzungumzia Fred Lowassa
Something fishy here... Lowasa aliangushwa kwa ripoti ya Mwakyembe... Lakini Mwakyembe mwenyewe alishakiri kuwa alificha sehemu ya ripoti ili kumsitiri/kumwokoa 'jamaa' mwingine. Sasa kati ya EL na 'jamaa' ni nani atataka Mwakyembe auawe? Nani atampa sumu??? Bila shaka ni yule ambaye Mwakyembe ana siri zake. Hivi kati ya EL na 'jamaa' ni nani anaiogopa 'ripoti iliyofichwa' na Mwakyembe?! Jibu liko wazi kama kutafuta jua mchana. Hii inaweza kuwa inachezwa na mmoja wa wataalamu wa siasa za majitaka za bongo, ambao ni wengi na kinara wao anajulikana..
Sijui kama niko sahihi lakini!!
 
Jamani huyu mama ana matatizo gani?

Hata kama ndio ku divert attention is this is the best way?

How hard is it kwa huyu mama kuachia ngazi?
 
itabidi tusubiri sakata la madaktari liishe kisha tuliweke humu...
 
Jamani huyu mama ana matatizo gani?

Hata kama ndio ku divert attention is this is the best way?

How hard is it kwa huyu mama kuachia ngazi?

yule mtoto aliyepigwa risasi na polisi wa ccm bado hajapona na ccm hawamtibii tena.ni muhimu wana jf kuandika mambo yahusuyo wa tz na si mtu kila leo mwakyembeee ooh sita oo lowasaa.hawa walishapitwa na wakati tujadili mambo ya vijana.kwani tusipokuwa na mwakyembe nguvu kazi haipo?ila kijana wa miaka 15 ni taifa la kesho.part ya mwakyembe alishaimaliza hasa kama aliweza kuwawajibisha mafisadi basi he has played his part kwishney ibaki historia tu kuwa kulikuwa na hao watu.those people has nothing to do this time let them go.
 
Hana cha kuwekewa sumu wala nini, huyo ana ugonjwa mwingine unamsumbuwa ndio maana kakaa kimya.

Tuwekee hapa huo ugonjwa bidada, maana bla bla zimekuwa nyiiiingiii. Weka bibie ili tufungue ukurasa mwingine. Twende sasa...
 
Kuwa mafaili ya wagonjwa uwekwa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya!!, sawa labda ndivyo kwa hospitali zetu zote! Au la Appolo ndio wanaopereka mafaili ya wagonjwa wanaowatibu kwa katibu Mkuu wa Wizara hiyo!


Mhmm sijui, :peep:
 
Mwakyembe Sitta Rostam Lowassa Richmond Dowans Membe Mengi.
majina hayo yamekuwa yakitajwa kwa miaka mitano sasa.
hali ya maisha inaendelea kuwa ngumu. watu wanakufa nchi inaoza.
hebu tuamue tusiwataje kabisa watu hawa kwa miaka mitano tuone kama hali itakuwa nzuri
 
Back
Top Bottom