Mtoto wa Kigogo ahonga sh.40m/= na kukabidhiwa Faili la Ugonjwa wa Mwakyembe

Nastaafu mwezi ujao yaani march, na hicho kiasi ndio malipo yangu yote ya kustaafu baada ya kuitumikia serikali hii kw miaka 36. mwe, wengine wananunulia taarifa!
 
Something fishy here... Lowasa aliangushwa kwa ripoti ya Mwakyembe... Lakini Mwakyembe mwenyewe alishakiri kuwa alificha sehemu ya ripoti ili kumsitiri/kumwokoa 'jamaa' mwingine. Sasa kati ya EL na 'jamaa' ni nani atataka Mwakyembe auawe? Nani atampa sumu??? Bila shaka ni yule ambaye Mwakyembe ana siri zake. Hivi kati ya EL na 'jamaa' ni nani anaiogopa 'ripoti iliyofichwa' na Mwakyembe?! Jibu liko wazi kama kutafuta jua mchana. Hii inaweza kuwa inachezwa na mmoja wa wataalamu wa siasa za majitaka za bongo, ambao ni wengi na kinara wao anajulikana..
Sijui kama niko sahihi lakini!!

Hauko mbali sana na ukweli. Kidogo kidogo unaunganisha dots.

Tilia maanani pia katika wajumbe wote wa ile kamati, Stella Manyanya, aliyekuwa Katibu wa Kamati Ya Mwakyembe, kapewa Ukuu wa Mkoa baada ya Mwenyekiti Mwakyembe kupewa unaibu. Nani anawanyamazisha hawa? Kwa nini?

ENL aliuliza ndani ya CCM NEC, mbele ya wajumbe lukuki...."Mwenyekiti, kwa nini nasulubiwa kwa hili suala la Richmond? Ni nini ambacho nilikifanya ambacho wewe Mwenyekiti hukijui?"

Tafuta jibu la hayo maswali, basi utajua nani anafaidika zaidi na Mwakyembe au Manyanya kuwa kimya......hata iwe kimya milele.
 
urais 2015 ni lazima kwa njia yoyote,lakini wanadamu tuamini mungu yupo,kama kweli wanataka kutoa gazetini manake wamefikia kiwango cha juu kutapatapa,wao watakufa kiroho,NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Hauko mbali sana na ukweli. Kidogo kidogo unaunganisha dots.

Tilia maanani pia katika wajumbe wote wa ile kamati, Stella Manyanya, aliyekuwa Katibu wa Kamati Ya Mwakyembe, kapewa Ukuu wa Mkoa baada ya Mwenyekiti Mwakyembe kupewa unaibu. Nani anawanyamazisha hawa? Kwa nini?

ENL aliuliza ndani ya CCM NEC, mbele ya wajumbe lukuki...."Mwenyekiti, kwa nini nasulubiwa kwa hili suala la Richmond? Ni nini ambacho nilikifanya ambacho wewe Mwenyekiti hukijui?"

Tafuta jibu la hayo maswali, basi utajua nani anafaidika zaidi na Mwakyembe au Manyanya kuwa kimya......hata iwe kimya milele.
Wee acha tu mkuu..Halafu ukiona jinsi watu wanavyopotoshwa kirahisi hapa utachoka. Mko Msimbazi road Dar mtu anawaambia 'ili mfike Arusha fuata barabara ya Kilwa pita Mbagala mtafika Ars! Na nyie mnafuata njia hiyo na kushindana njiani kutafuta nani atawahi Ars... Matokeo yake? Msumbiji ndani!
 
huyo mtoto ni fredy mamvi mkitaka nifungieni, najua mnamwogopa sana mamvi, ila naapa kwa mbingu na ardhi kamwe lowasa hatakaa pale ikulu alikokaa Julius Nyerere, akitaka akajenge ikulu yake na wapambe wake hukoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
utamuudhi Pasco, shauri yako!
 
Money can try to hide the truth for some moment but not always!All things (the truth) will soon be posibly disclosed b4 God anda the world!
 
Hauko mbali sana na ukweli. Kidogo kidogo unaunganisha dots.

Tilia maanani pia katika wajumbe wote wa ile kamati, Stella Manyanya, aliyekuwa Katibu wa Kamati Ya Mwakyembe, kapewa Ukuu wa Mkoa baada ya Mwenyekiti Mwakyembe kupewa unaibu. Nani anawanyamazisha hawa? Kwa nini?

ENL aliuliza ndani ya CCM NEC, mbele ya wajumbe lukuki...."Mwenyekiti, kwa nini nasulubiwa kwa hili suala la Richmond? Ni nini ambacho nilikifanya ambacho wewe Mwenyekiti hukijui?"

Tafuta jibu la hayo maswali, basi utajua nani anafaidika zaidi na Mwakyembe au Manyanya kuwa kimya......hata iwe kimya milele.
Kwani Selelii hajui chochote kuhusu taarifa hiyo?
 
Kwa vile JF, ndio mahala pekee ambapo Great Thinkers dare to speak Openly, sasa kwanini mtoa mada anashindwa kusema wazi huyo mtoto wa kigogo ni nani, na hiyo ripoti kwanini isiwekwe hapa jamvini, Great Thinkers tuweze kuijadili na dunia ikajua A, B, C................. za hili swala na watu warudi ktk mijadala mingine ya kitaifa.

Nawasilisha.
 
Hivyo siku hizi ile lugha ya serikali (sirikali) ya miaka yote ya "under the lock and key" imeyeyukia wapi? Haingii akilini kuwa wafanya kazi wa afya wizarani wamelamba hizo 40million - lazima atakuwa katibu mkuu mwenyewe kwa vile ripoti nyeti kama hiyo haiwezi kuwa nje nje kama karanga za muuza njugu. let us not be fooled or somebody is trying to pull us a leg!!.
 
mimi nashauri muhusika kama yupo humu jamvini aiweke habari hiyo humu sasa hivi na kwa kuwa humu hatujuani kwa uhakika basi sourse ya habari iwe ni JFna aichape kwenye magazeti kesho ili iwafikie hata wananchi wengine ambao siyo member humu na kwa njia hiyo atakuwa ameepuka hata hatua za kimahakama ambazo zinaweza kujitokeza kama habari hii mchapa gazeti ataitoa kavum kavu maana itabidi aieleze mahakama sourse ya hiyo habari - HUU NI USHAURI WANGU WA BUUURE bila senti moja

Uko sawa mkuu. Mimi nadhani aiweke humu JF ili wahariri wa magazeti waitoe humu, hata watakapo hitajika kutoa source ya hiyo info waeleze kuwa wameitoa JF huku umma wa watanzania ukiwa umeshaupata ukweli.
 
hii habari uwongo tupu. nimepita profile ya kalengamab na kusoma latest posts zake.huyu ni mwakyembe mwenyewe.

kama unabisha pitia na soma.dr amepona karudi jf.
 
Kalengamab Mrushie Invisible Robot mwenyewe airushe, anajua jinsi ya kuiweka... atatuunganishia na zile za upande wa pili ambazo bila shaka evidence zake anazo. Shida iliyopo ni kwamba tayari uchunguzi unaendelea, na wanasubiri matibabu yakamilike, uzuri uliopo no kwamba badi hawajayapeleka maswala haya Mahakamani, so hakuna swala la kuingilia Mahakama hapa. Pia msisahau, Mh Mwakyembe ni Mwanasheria by proffession!
 
My take ni kwamba huyo mtoto wa Kigogo yawezekana familia imegundua kuwa hili swala linakusudiwa kumchafua baba yake. Siwashauri walirushe haraka kwenye magazeti wakae na huo ushahidi kwanza wasubiri upepo. Hata kama hawahusiki ila ninavyofahamu watu wa Intelijensia huwa wanawapa ushirikiano wa kutosha hawa vigogo hata kama hawako madarakani.

Ila tu swala la Hongo ya Milioni 40 ninashida kidogo maana hivi vitu lazima viwe na evidence, hoja ya msingi ni kuvuja kwa hilo file.
 
Mwakyembe ni mtu wa ajabu asiyestahili kuonewa huruma hata kidogo!! Anapaswa kulaumiwa kwa unafiki wake! Hilo ni pigo la pili wanamkosakosa! Alipopata pigo la kwanza la ajali, alisema kwamba anamwachia Mungu!! Safari hii amepata pigo la pili; wamemchua kwa mafuta ya kinyonga! Yote anamwachia Mungu! Anakaa kimya ili kukinusuru chama chake kinachotaka kumtoa roho!

Huyu mtu asiyejihurumia mwenyewe, si wa kuonea huruma hata kidogo!! Ni mnafiki wa kutupwa!! Anatusumbua akili bure!! Hadi rafiki yake wa karibu, Waziri Sita ametamka wazi kuwa kalishwa sumu. Yeye anakaa kimya ili kulinda heshima ya chama!! Kwa mtindo huo wa kinafiki, asubiri tu pigo la tatu. Hapo ndipo atakapomwachia Mungu yote kikwelikweli!! Jamani tumuache huyu mtu ajifie kwa amani kama anavyotamani, ili alinde heshima ya chama chake!!
 
Edson, Edson, Edson pleeease mwaga hapa!! Binafsi sitochangia lolote juu ya hizi habari za kuota, nitachangia kitu REAL KUTOKA KWAKO!!
Nimefuatilia post zako nimegundua una "concrete details" na uko karibu na Dr.
Tusaidie ktk hili mkuu wangu! Timiza ahadi yako mkuu (hapo juu).
PLEEEEASE!!
 
jf ukijua kuchunguza kidogo unakamata watu walongo kirahisi.

nenda jina la kalengamab seach latest posts soma kinachotokea. utagundua mwanzilishi wa hii thread.

swali kwanini ngumu mwakiembe kutuambia anaumwa nini.badala yake wanatumia njia hizi za kuchafua.

kalengamab nimeipenda hiyo ya kuwa mwezi wa kumi umwanafunzi india dr mwakiembe anaongea kiingereza kizuri sana.

waongo na wazushi walegee.
kalengamab pole kwa kuumwa. karibu tena jf.
 
Back
Top Bottom