Mtoto wa Jk ahitimu Muhimbili

Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
221
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto wao hapa hapa bongo.
picha kutoka Mkuu wa nanihii - MICHUZI
i159_JK2BDAUGHTER2B2.JPG

i160_mamajk.JPG
 
JK ni mzalendo wa kiukweli maana hata yule wa kwanza amemaliza sheria UDSM.
Zaidi ya uzalendo watoto ni uthibitisho degree ya JK ya UDSM ni ya kiukweli.kuna viongozi wana degree za kupewa too, utawajua maana machoni wanaonekana wajinga wajinga.
 
Hongera sana Mh. JMK kwa kuwa Mzalendo halisi. Sisi waTanzania tupo nyuma yako tunafuata 'nyayo' zako.
 
kusomesha watoto bongo sio uzalendo wala nini, utakuta ata hao watoto ni jitihada zao wenyewe, hongera wape watoto wake sio yeye
 
Is just like other kids and her parents are just like other parents. You can never be parents than the parents themseves. Tks
 
Hongera mtoto wa JK !! Chapa kazi ya taaluma yako, si lazima ujiunge katika siasa !!
 
Hongera sana Salama!Elimu haina mwisho usiishie hapo tu huo ndo mwanzo tu!
 
Is she married?,beautiful?

LOL!...safi sana hiyo huwezi kujua!! fuatilia unaweza ukajipatia mke halafu ni mchapa kazi na mambo ya siasa inaelekea yamemkalia kushoto. Kila la heri.
 
LOL!...safi sana hiyo huwezi kujua!! fuatilia unaweza ukajipatia mke halafu ni mchapa kazi na mambo ya siasa inaelekea yamemkalia kushoto. Kila la heri.

Teh teh teh,mimi na yule mdogo wake tu.

Btw: Ila kama ni jitihada zake sawa,maanke hapo muhimbili utakuta mjanja kafeli halafu mjinga mjinga Darasani kafaulu
 
Kweli Salama anastahili pongezi sana tu na kumshukuru sana muumba wake kwa kuwa alipofikia na mtoto wa mwenye nchi pia, ilikuonyesha uzalendo wa kweli usiokuwa na kaunafiki itakuwa vizuri sana kama atapangiwa kazi Ileje kulee.... mlimani kituo cha afya hakina umeme, maji ni yakisima magari hayafiki (labda yatembee kiupande-upande) na hiyo kazi aikubali na tutangaziwe tena kuwa kweli JMK mzalendo, kamruhusu mwanae kwenda kule!!
 
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto wao hapa hapa bongo.
picha kutoka Mkuu wa nanihii - MICHUZI
t157_JKDAUGHTER2.JPG

t158_kikwetesdaughter.JPG

Ndugu yangu umejaribu kutumia upeo wako wa fikra nakupa mwaka mmoja mtapigana nae vikumbo katika miji yenu ya huko ENGLAND na kama si USA any way apewe hongera mtoto na mzazi kwa kufikia alipofikia mungu afungulie milango mizuri ya ufanisi na alisaidie jamii
 
Teh teh teh,mimi na yule mdogo wake tu.

Btw: Ila kama ni jitihada zake sawa,maanke hapo muhimbili utakuta mjanja kafeli halafu mjinga mjinga Darasani kafaulu

Just hypothetical scenario: Let's say she failed her finals, is there any MUCHS prof. who will dare to disco.. her? My village needs a dentist... we need you!

Ongera Salama wajina wa mamsapu wangu!!
 
people chat breeze.. Mara kafeli.. jamani! kafeli kivipi, mara ataenda UK na US.. hata akienda mars, mnataka baba yake asimpeleke ili aonekane mzalendo wakati he can afford it... Nimesoma na salama mzizima.. alikuwa mstaarabu sana na mpole. Alifaulu vizuri tu. sio type yakufeli popote ata huo udaktari.
 
Naona mitazamo tofauti hapa kila mtu na lake.Sawa nani anastahili pongezi mtoto au wazazi?
 
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto wao hapa hapa bongo.
picha kutoka Mkuu wa nanihii - MICHUZI
i159_JK2BDAUGHTER2B2.JPG

i160_mamajk.JPG

Katika vitu ambavyo JK ameonyesha uzalendo ni hili la watoto kusomea hapa-Ridhiwani: UDSM, Salama Muhimbili. Nitamuone JK mzalendo zaidi kama watoto hawa hawatakuwa wamepewa mkopo wa 100% na Mzalendo zaidi na zaidi kama amewasomesha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom