Mtoto wa Binamu yangu kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha

Poleni sana,, vipi hakuna wanyama wakali maeneo hayo?
Wanyama wakali wapo japo wapo mbali Sana kwa Yale maeneo zaidi Ni nyani na wanyama wadogo wadogo

Taarifa mpya nilizozipata kutoka kwa bi mkubwa anasema kabla mtoto hajapotea kilitokea kimbunga kikubwa Sana ambacho kilipelekea Hadi kubeba kanga iliyokua imewekewa karanga zilizochimbwa na hiyo nguo ilipaishwa juu Sana

Cha kushangaza eti baada ya watu walioenda kwa mganga majibu yaliyotoka Ni kuwa mtoto kafichwa mahali kwa njia za kichawi Tena Yuko chumban na Pia huyo mganga et ameeleza uhalisia wa kila kitu kuazia kimbunga had nguo alizovaa mtoto

Huyo mganga anasema ili mtoto apatikane Kuna dawa atawapa then wataikoroga na maji Kisha atawaelekeza mahali(moja ya hayo mapori)wakaimwage then warudi mtoto atarudi

Mimi namwamini Mungu aliye hai Kupitia Jina lipitalo majina yote Jina la YESU KRISTO ya kuwa KWA JINA LA YESU KILA NGUVU ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NA MAJINI YAKAMWACHIE MTOTO HUYO AKIWA HAI

Nawashukuru ndugu zangu wote JF kwa kuendelea kutuombea tunamwamini Mungu Endeleeni kutukumbuka katika maombi

Asanten

God bless you all
 
Poleni sana,

Mdogo angu alipoteaga 14/2/2021 saa moja jioni,

Aisee kwanza akili ilikuwa haikubali kuwa dogo kapotea,yaani nilikuwa naamini dogo yupo hajapotea,

Kingine kilichokuwa kinanichanganya,,,,nilikuwa nawaza yupo wapi?? Yupo na nani?? Katika mazingira gani?? Yupo hai??,,,kama kafa nitazipokeaje hizi taarifa halafu dogo ni mkubwa alikuwa na 13yrs ni wa kike, Na hana kawaida ya kutoka jioni yaani hadi watu wakawa wanashangaa,

Mtaa mzima ulisimama kumtafuta kila kona yaani daah
Watu walitafuta hadi saa saba usiku bila mafanikio,

Ile raia wakatoa wazo inabidi tukaripoti polisi,

Walivyoenda kuripoti wakakuta taarifa ishatangulia polisi kuwa kuna mtoto kaokotwa lakini kapelekwa hospital loooh

Yaani mfano, tunaishi gongolamboto mtoto aokotwe kinondoni saa moja jioni akiwa kapoteza fahamu hana hata kiatu mguuni
na hiyo saa moja alikuwa mazingira ya nyumbani na watu walimuona,

Yaani dogo aliokutwa barabarani akiwa kalala hana fahamu, halafu ni nje ya mji,,

Haya mambo unaweza kuona ni story lakini yanaumiza na ni ngumu kukubaliana na hali,,,mauzauza tuliyoyaona kwa huyu mtoto nyie,

UCHAWI UPO.
 
Mtoto mwenye umri wa miaka 3 wa kike kapotea kwenye mazingira ya ajabu Sana

Majira ya Saa 11 alasiri ya Jana tar 6 June 2022 wakiwa shambani wakichimba karanga Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 3 wa kike alipotea kwenye mazingira ya kustajaabisha Sana

Mazingira ya shambani ni mbali na kijijini Hivyo maeneo yote ya shamba yamezungukwa na mapori makubwa na mabonde makubwa (Iringa) Hivyo kutokea hiyo Jana Saa 11 Hadi dkk hii Hakuna MATOKEO yoyote ya kupatikana mtoto Licha ya kutoa taarifa kwa uongozi wa Kijiji na watu walitawanyika kwenye mabonde na mapori usiku mzima kutafta mtoto Lakini hajapatikana Hadi Usiku huu

Yaani inaumiza sana jamani hatujui ni ushirikina au vipi japo nimepigiwa simu na bi mkubwa anasema ndugu wanataka Usiku huu huu waende kwa mganga akachek

Kwa uweza wa Mungu naamini mtoto atapatikana akiwa mzima

Tunaomba maombi yenu jamani

Asante

Poleni sana, Mungu awasaidieni.
 
Poleni sana,

Mdogo angu alipoteaga 14/2/2021 saa moja jioni,

Aisee kwanza akili ilikuwa haikubali kuwa dogo kapotea,yaani nilikuwa naamini dogo yupo hajapotea,

Kingine kilichokuwa kinanichanganya,,,,nilikuwa nawaza yupo wapi?? Yupo na nani?? Katika mazingira gani?? Yupo hai??,,,kama kafa nitazipokeaje hizi taarifa halafu dogo ni mkubwa alikuwa na 13yrs ni wa kike, Na hana kawaida ya kutoka jioni yaani hadi watu wakawa wanashangaa,

Mtaa mzima ulisimama kumtafuta kila kona yaani daah
Watu walitafuta hadi saa saba usiku bila mafanikio,

Ile raia wakatoa wazo inabidi tukaripoti polisi,

Walivyoenda kuripoti wakakuta taarifa ishatangulia polisi kuwa kuna mtoto kaokotwa lakini kapelekwa hospital loooh

Yaani mfano, tunaishi gongolamboto mtoto aokotwe kinondoni saa moja jioni akiwa kapoteza fahamu hana hata kiatu mguuni
na hiyo saa moja alikuwa mazingira ya nyumbani na watu walimuona,

Yaani dogo aliokutwa barabarani akiwa kalala hana fahamu, halafu ni nje ya mji,,

Haya mambo unaweza kuona ni story lakini yanaumiza na ni ngumu kukubaliana na hali,,,mauzauza tuliyoyaona kwa huyu mtoto nyie,

UCHAWI UPO.
Kwa kweli Ni shida Yan
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mama Ni kwamba mabonde na makorongo yapo imagine wameaza kutafta kutokea Jana Jion na siku hii ya Leo Tena leo watu walikua wengi wanakijiji Lakin jitihada hizi hazijazaa matunda
Poleni sana, Mungu awaongoze watafutajj wa mtoto huyu wawezi kufika mahala alipo.
 
Wanyama wakali wapo japo wapo mbali Sana kwa Yale maeneo zaidi Ni nyani na wanyama wadogo wadogo

Taarifa mpya nilizozipata kutoka kwa bi mkubwa anasema kabla mtoto hajapotea kilitokea kimbunga kikubwa Sana ambacho kilipelekea Hadi kubeba kanga iliyokua imewekewa karanga zilizochimbwa na hiyo nguo ilipaishwa juu Sana

Cha kushangaza eti baada ya watu walioenda kwa mganga majibu yaliyotoka Ni kuwa mtoto kafichwa mahali kwa njia za kichawi Tena Yuko chumban na Pia huyo mganga et ameeleza uhalisia wa kila kitu kuazia kimbunga had nguo alizovaa mtoto

Huyo mganga anasema ili mtoto apatikane Kuna dawa atawapa then wataikoroga na maji Kisha atawaelekeza mahali(moja ya hayo mapori)wakaimwage then warudi mtoto atarudi

Mimi namwamini Mungu aliye hai Kupitia Jina lipitalo majina yote Jina la YESU KRISTO ya kuwa KWA JINA LA YESU KILA NGUVU ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NA MAJINI YAKAMWACHIE MTOTO HUYO AKIWA HAI

Nawashukuru ndugu zangu wote JF kwa kuendelea kutuombea tunamwamini Mungu Endeleeni kutukumbuka katika maombi

Asanten

God bless you all
Poleni sana,KRISTO away nguvu.

Endelea kutupa feedback.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Katika kutafuta uhai, tumia njia au zana zote; iwe kwa sangoma, maombi, hospitali n.k
 
Back
Top Bottom