Mtoto wa ajabu huko nzega.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Sijapata kuona,kuna mtoto yuko nzega ana umri wa miezi saba,cha kushangaza huwa alali mpka kuwe na kelele zwe za redio au umpeleke baa,sasa kwa bahat mbya jana kaugua alvyolekwa hosptal kulazwa hajalala.Ikabid kununua cm ya kichina na kumwekea headphone.Manes wameishamchoka kwa masaa 2.
 
Mama mtoto anatakiwa afungue 'kilabu' nyumbani ili kuepuka kero za hako KAMBUMBUMBU,wewe ni baba wa mtt nn!!
 
Mi mwanangu wa miaka mitatu wa kiume, tv isipocheza miziki ya bongoflavor hakukaliki ndani. Tumeamua kujaza CD za nyimbo hizo kibao ndani. Ndo kizazi cha dotcom hicho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom