Mtoto Nilham unatisha!!!!!

I wish I had other nice words to explain your beauty, but just let me just say that "YOU ARE VERY BEAUTIFUL". Ma'ashaallah! :clap2:
 
E bana wandugu hebu niambieni ukweli kidogo nimechanganyikiwa. Hii post ina expose uwongo wa Nilham Rasheed? Kuwa alikuwa anatumia picha si zake siku zote? pia nakumbuka kuna mtu aliwahi kuhoji kama avatar ni picha yake halisi akadai alipiga siku sijui ya Idd anatoka wapi, kumbe ni fix?
Anatakiwa atuombe radhi. Najua wengi humu tunadanganya identities avatars etc lakini hatu claim kuwa za kwetu everybody knows it is a fake game!

Pia huyu hujifanya mtu wa Mungu sana, hicho ndicho kinaniuma! Umeona post zake za humu, hamna kile kiswahili cha kiarabu!
PLASTIC! FAKE!
 
E bana wandugu hebu niambieni ukweli kidogo nimechanganyikiwa. Hii post ina expose uwongo wa Nilham Rasheed? Kuwa alikuwa anatumia picha si zake siku zote? pia nakumbuka kuna mtu aliwahi kuhoji kama avatar ni picha yake halisi akadai alipiga siku sijui ya Idd anatoka wapi, kumbe ni fix?
Anatakiwa atuombe radhi. Najua wengi humu tunadanganya identities avatars etc lakini hatu claim kuwa za kwetu everybody know it is a fake game!

Pia huyu hujifanya mtu wa Mungu sana, hicho ndicho kinaniuma! Umeona post zake za humu, hamna kile kiswahili cha kiarabu!
PLASTIC! FAKE!

Soma hiyo link aliyoweka Baba Mtu utajua ukweli uko wapi.
 
kuna mama mmoja alikuwa akipenda sana kutoa usemi huu kwamba kuishi na watu kazi....kweli kazi maana sijailewa sababu ya kubishana iko wapi?? ukizangatia la kwanza wewe ni mwanamme imekuuuma nini hasa mpaka ukakasirika ukaanza kufatilia sasa kwa experiment ulioifanya ulijuaje kama ni uongo abuy.....hunijui kwetu?? hunijui mie ni nani?? sasa sawa fine nakudanganya wewe nisiekufahamu kwa faida gani hasaa??? hunipi kula hunivalishi??? sioni tatizo nililofanya hapa la muhimu kama kwakuwa hamnifaham na nimejitahid kujitambulisha lakini bado nashangaa mwanichokoa chokoa ukinawa sana mwisho hutoka na uchafu..... sasa be carefull....... na nisameh sana sana kama nitakuwa nilikuwa nikikuudhi abuy binaadam hakuna aliekamilika sote tuhalimoja na sote damu yetu nyekundu na alietuumba ni mmoja.... allah isalimki jamiya yaraab...

Mi nakuamini 1000% japo sijakuona, ila najipa moyo kuwa ipo siku..................
 
Shauri zenu mnaodanganyika napicha zawatoto waki saudia eti mbongo'thubutu huwez kaa tz ukangaa hivyo,umeme wenyewe hakuna lazma upauke kwa joto najua.
 
Back
Top Bottom