Mtoto Lulu anafunika kwenye filamu za Bongo

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Lulu kushoto akiwa na anko Ray na mwenzake. Wapenzi wa Tolywood jiandaeni.
FAMILY%2BDIS_2.jpg




FAMILY%2BDIS_DVD%2B2.jpg
 
Lakini bado anakaushamba ka kuamini kukaa uchi au kunywa mipombe isio na akili ndo ujanja.
 
Kusema kweli mimi mwenzenu sioni umuhimu wa kumuongelea huyu dogo, anaboa sana na anajiona kama ameshayaweza maisha wakati angejua safari iliyo mbele! awe mpole tu
 
Mtoto hana Maadili angetaka kufanikiwa basi angekuwa na maadili mema kwa jamii sasa kila siku vituko.
 
Pauline unamsifia mwanamke mwenzio sasa naanza kuamini hapa!

ahaha kwani kuna ubaya???..ulitaka nichukie kuona mwanamke mwenzangu kapendeza??mie sina wivu....dont be judgemental Zipuwawa...lols:behindsofa:
 
Usijifiche sasa kwenye sofa lako hilo. Ila haka katoto kazuri ila tabia ndio mgogoro kweli mwanamke mzuri hakosi kasoro
ahaha kwani kuna ubaya???..ulitaka nichukie kuona mwanamke mwenzangu kapendeza??mie sina wivu....dont be judgemental Zipuwawa...lols:behindsofa:
 
Mtoto ndo kaingia mjini. Pombe na yeye, Wanaume na yeye. nagawa kama pipi, nakaa naye jirani yaan noma jaman.
 
WIRELESS Sioni hata haja ya watu kuangalia Movie zake maadili gani anatufundisha ila mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo
Mtoto ndo kaingia mjini. Pombe na yeye, Wanaume na yeye. nagawa kama pipi, nakaa naye jirani yaan noma jaman.
 
una miguu mizuri Lulu....:hungry::embarrassed:

Unatumia nini kale kamchezo? vidume ndo tumsifie...ahaaa Pau....!!!! ofcourse kabinti kapo pouwa ila kana mambo mengi then kashamba!!!1
 
kamependeza, watu wsikaharibu ili kaweke maisha vizuri maana industry ya cinema inakuwa vizuri kwa kulipa
 
Back
Top Bottom