Mtoto hataki kula

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Ninamtoto wa miaka miwili na miezi 9.hali vzr,alikuwa anakula vzr sasa hali ,nimempa dawa ya minyoo,hali bado.msaada tafadhali
 
Huyo atakuwa kaota baba yake anapiga nje, ndiyo maana kasusa. Bongo hii people are NOT serious na maisha. Ila kwa ushauri nasaha nataka kukuuliza ziadi juu ya mwanao. Je, anakunywa maziwa, uji, au kitu chochote umpacho zaidi ya chakula? Kingine, je, anapungua kilo zake? Angalia asije kuwa dehydrated au ana early symptoms za diabetes. Usishangae mtoto wa umri kama wako akawa na suakari kwani siku hizi sukari imekuwa an epidemic. Mpeleke kwa pediatrician wake haraka iwezekanavyo usitumie dawa mbadala.
 
Mpeleke kwa daktari afanyiwe uchunguzi na watakupa ushauri zaidi kama kuna tatizo lolote.

Kama hakuna tatizo la kiafya basi kiwango anacho kula sasa ndio kinamtosha. Kama angekua hali kabisa hapo ndio tatizo, lakini kama anakula kiwango kidogo huwezi kumlazimisha hale zaidi.
 
Kama yote niliyoyasem hapo juu si sahihi basi huenda mwanao akawa na kitu kitaalam kinaitwa dysphagia au ugumu wa kumeza chakula kutokana na uvimbe kwenye koromelo (nafikiri ndivyo inavyoandikwa), na dokta umfanyia uchunguzi kooni (ndani ya koromelo) ili kujuwa nini tatizo la mtoto kama huyo. Fanya haraka kumpeleka mwanao kwa daktari.
 
Analishe kabisa,asubuhi uji.ulezi.saa 4 chai,mchana anaandaliwa chakula chake,muda wa lunch general anapewa,saa kumi anapata kilichopikwa saa tano then jioni anapata cha general,amepata vijipele vinakuwa vidonda na anakikohozi kwa sasa,kikohozi kina kama week,tulijaribu kumpa dawa but stil is ther
 
Sawa, basi atakuwa na some kind of infection(s), ila nahisi lazima atakuwa na dysphagia kwani nayo (dysphagia) alama zake ni hizo vipele, kikohozi ambacho kinatokana na infection. Tafadhali mpeleke kwa pediatrician wake usitumie tu dawa bila kujuwa sababu unaweza kuleta madhara zaidi.
 
Analishe kabisa,asubuhi uji.ulezi.saa 4 chai,mchana anaandaliwa chakula chake,muda wa lunch general anapewa,saa kumi anapata kilichopikwa saa tano then jioni anapata cha general,amepata vijipele vinakuwa vidonda na anakikohozi kwa sasa,kikohozi kina kama week,tulijaribu kumpa dawa but stil is ther

Anaumwa na ndio maana hali chakula, nakushauri mrudishe tena hospitali akaangaliwe upya kwani kuna baadhi ya magonjwa ya watoto ni vigumu kuyang'amua hadi hospitalini.
 
Kama yote niliyoyasem hapo juu si sahihi basi huenda mwanao akawa na kitu kitaalam kinaitwa dysphagia au ugumu wa kumeza chakula kutokana na uvimbe kwenye koromelo (nafikiri ndivyo inavyoandikwa), na dokta umfanyia uchunguzi kooni (ndani ya koromelo) ili kujuwa nini tatizo la mtoto kama huyo. Fanya haraka kumpeleka mwanao kwa daktari.

Jamaa anatisha huyu, watoto wengi wa umri huo wanakuwa wasumbufu wa kula,
 
Back
Top Bottom