Kwa hizi dalili nahisi nina minyoo
Kukosa hamu ya kula yaani CHAKULA hata kiwe kitamu vip huwa hakipandi aisee
Mwili kuhisi uchovu, muda mwingi mwili unajihisi kuchoka hata kama sijafanya kazi
Mwisho sikumbuki mara ya mwisho nilikunywa lini dawa za minyoo
NB: hii Hali ni ya muda mrefu almost miaka 6