Mtoto anamtafuta baba yake.

smb85

New Member
Oct 10, 2010
2
0
Tafadhal wadau wa j.f Mr. Amos Buregi anatafutwa na mwanae, kwa mwenye taarifa zozote au anapopatkana mzee huyo. Inasemekana yupo Dodoma but ha2na uhakika. Mwanae anamtafuta.
 
Tafadhal wadau wa j.f Mr. Amos Buregi anatafutwa na mwanae, kwa mwenye taarifa zozote au anapopatkana mzee huyo. Inasemekana yupo Dodoma but ha2na uhakika. Mwanae anamtafuta.
Ungeweka japo picha kama ipo ingesaidia sana!
 
picha hamna coz inasemekana mtoto mwnyew hajawah kumuona baba yke.
 
tafadhal wadau wa j.f mr. Amos buregi anatafutwa na mwanae, kwa mwenye taarifa zozote au anapopatkana mzee huyo. Inasemekana yupo dodoma but ha2na uhakika. Mwanae anamtafuta.

jaribu radioni huwa wanapatikana sana!
 
Information hazijitosherezi, Toa majina kamili, Umri, kabila, umbile lake, mwonekano nk.
 
mkuu nadhani utoe detail zaidi.mfano alimmimba nani?ilikuwa lini na wapi?mama wa huyo mtoto anaitwa nani?alikuwa akifanya kazi gani by then!nadhani details zikijitosheleza hata dingi mwenyewe atajitokeza!
 
Back
Top Bottom