Mtoto amuua kwa kisu mama yake, naye ajirusha ghorofani na kuvunjika miguu yote

Mtu akileta ujinga lazima achanwe live mkuu. Tukiendelea kulea ujinga heshima ya jf itapungua.
Hivi unavyomtukana matusi makali Mtu aliyekomenti vibaya tofauti yenu hapo ni nini?

Maana ni kama na wewe ume komenti hicho hicho alichokomenti yeye.

Ni kama umemkuta Mtu amejipaka masizi usoni nawe ukajipaka matope ili uonekane bora kuliko yeye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom