cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
cheusimangala,
hi imetokea bongo?...damn!!!..this is one wierd form of encephalopathy!
Mungu awasaidie wajameni maana ingekua mwanangu hata sijui nignefanyaje.
ndio imetokea hapa bongo,huko morogoro.
Duh!!!...sasa tuone ahadi za CCM zikifanya kzai kumshughulikia huyu bwana mdogo.Amen.
OMG hii ni hatari aisee na huduma zetu zilivyo ovyo, mzazi unaweza kuchanganyikiwa!!!
Nikicheki mazingira yenyewe ya around hata hayaridhishi!mmh Mungu amsaidie asipate infections masikini.
Case za hivi huwa zinashughulikiwa vipi? Wanaweza kumsaidia kweli?Cheusimangala,
Hi imetokea bongo?...Damn!!!..This is one wierd form of encephalopathy!
Mungu awasaidie wajameni maana ingekua mwanangu hata sijui ningefanyaje.
Inabidi tuwaambie sisiem wamrushe dogo kwenda angalau Indian akapate matibabu mbona last week yule bibi Hawa Ngulume alipolialia wakampeleka india?? kwa kodi za wavuja jasho wa Tanganyika??:bump:Case za hivi huwa zinashughulikiwa vipi? Wanaweza kumsaidia kweli?
dah!! inasikitisha... sana .. hii pia inasababishwa na umaskini wa nchi yetu kutokuona matatizo ya mtoto kabla hajazaliwa. katika nchi za wenzetu huwezi kuona hii kitu mafano... katika hospitali ninayofanyia clinical rotations nilikutana na m.mke on my morning rounds CHAT yake inasema alifanya abortion with in her 2nd trimester baada ya madactari kugunduwa mtoto angezaliwa na defect ambayo ingehitaji kuwa corrected kwa operation, since yule mama hakuwa on insurance na operation ni bei mbaya na pia percentage ya mtoto kutoka alive ni ndogo sana .. akashauriwa to giveup her unborn baby! .. Ifike kipindi serikali yetu ya bongo iwekeze katika afya na vifaa vya kisasa sansana kwa kina mama & watoto
hili kwenye dini zetu limekaa vp ?
jee katika hali kama hio mzazi akajuilishwa kuwa mtoto ataezaliwa anadeffect inakubalika kutoa mimba kwa kimbia gharama za matunzo au fedha?