Mtoto amepotea-Miriam Masumbuko (7)

Jul 6, 2015
36
24
Kuna taarifa za kupotea kwa mtoto Miriam Masumbuko Mwelekwa,darasa la 1, kama anavyoonekana kwenye picha.Amepotea tangu Jana saa moja jioni wakati anacheza ndani ya uzio wa nyumba yao maeneo ya Gongo la Mboto na haijulikani alipo.

Kwa yeyote atakayesikia/aliyesikia taarifa zake au kumuona popote tunaomba tufahamishane.

Unaweza kupiga 0762 686 361
 

Attachments

  • 1439404758305.jpg
    1439404758305.jpg
    66.9 KB · Views: 424
Mazingira ya kupatikana yalikuaje ? Kulikua na mkono wa mtu au ni bahati mbaya tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom