Mtoto afariki baada ya kudondokea kwenye shimo huku arusha

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Ni maeneo ya hapa kijenge arusha mtoto wa miaka mitano amedondokea katika simo la choo jitiada ziligonga mwamba kumtoa lakini ilipita kama masaa 2 ndipo akatolewa akiwa amefariki polisi walifika eneo la tukio lakini inasemekana mwenye nyumba katoroka polisi wanaendelea na uchunguzi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin
 
Back
Top Bottom