Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Ndugu yangu, inaelekea wewe ni mlezi mzuri wa uovu. Siku nyingine yakikujia mawazo kama haya yakemee kwa kuwa yanatoka kwa yule mwovu.Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.