Mtihani wa TAIFA

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jamani Can u imagine eti PESA ya mtihan wa TAIFA (NECTA) form 4 imerudishwa kwa hiyo mzazi ataendelea kumlipia mtoto wake mtihan huo Tsh. 35000/=
yaan kiufupi mwananchi wa kawaida anaendelea kurundikiwa mzigo richa ya kwamba tayari anamzigo mwingine wa MFUMUKO WA BEI
maneno haya juu yanakamilisha neno TANZANIA, du mpaka najuta kwanini nilizaliwa hapa.
 
Si wanalipa wanachama wa chadema tu sana wengind mnalalamika nini?
 
Jamani Can u imagine eti PESA ya mtihan wa TAIFA (NECTA) form 4 imerudishwa kwa hiyo mzazi ataendelea kumlipia mtoto wake mtihan huo Tsh. 35000/=
yaan kiufupi mwananchi wa kawaida anaendelea kurundikiwa mzigo richa ya kwamba tayari anamzigo mwingine wa MFUMUKO WA BEI
maneno haya juu yanakamilisha neno TANZANIA, du mpaka najuta kwanini nilizaliwa hapa.
my friend if you think education is expensive try ignorance.
 
Baada ya kusoma hapa hasira zangu kwa CEO mmoja wa Kenya kuhusu uchumi wa TZA zimetua. Huyu jamaa kumbe mkweli, mimi nilidhani anatudhalilisha tu kama ilivyo kawaida yao.

Ni CEO wa kampuni inayofanya biashara ya nguo, saluni na vifananavyo. Akawa anajibu swali h¡kuhusu expansion strategy yao kwa mwaka huu. Akadai kuwa kuja TZA ni ngumu kwani hakuna shopping malls lakini zaidi ni kuwa bado uchumi wetu ni AGRARIAN.

Mtoa mada umedhibitisha! Bure? 2012? Kweli very bure and cheap uchumi of the AGRARIANS!
 
Back
Top Bottom