Mtia nia ya kuwania Urais kupitia UKAWA ajivua uanachama wa NCCR - Mageuzi

Utasikia "Nimejivua uanachama wa NCCR ila bado sijaamua pa kwenda" Baada ya siku mbili unamkuta kakalishwa kwenye benchi kwenye ofisi za tawi la CCM huko utasikia "Nimejiridhisha kuwa CCM ya sasa inatekeleza yale upinzani tuliyoyapigania kwa miaka 20 hivyo sioni haja tena ya kuwa upinzani" Ukimuuliza ni yapi anaanza blah blah huku akijua kuwa upinzani kwa miaka 20 sasa unapigania katiba mpya yenye nguvu, tume huru ya uchaguzi na kuheshimiwa kwa kila mhimili....Sasa sijui hayo ndo yanatekelezwa? Labda nipo nje ya Tanzania ndo maana sijui kinachoendelea!
Ukiachika ama kuacha ndio usiolewe MKUU.....
 
Natamani wapinzani wote wangehamia CCM na CCM ihamie upinzani au ikae pembeni mana wote wameshindwa kuwa na tija kwa taifa kupitia vyama vyao.

CCM wameshindwa kuweka dira bora ya taifa pamoja na wingi wao.
Wapinzani nao wameshindwa kutokana na uchache wao.

Bora UKAWA waende kule ili katiba ya Warioba itakapoletwa ipite bila kipingamizi cha wafia CCM.
Nadhani awamu ya Tano chini ya CCM yenye viongzoi mahiri kama Polepole wana nia njema na Katiba ya Warioba.
Katiba ile ikiletwa kwa wale CCM wapinga mabadiliko ya katiba haitapita kamwe tutapoteza tena pesa za watanzania.
Ni bora tusajili wachezaji wanye itikadi ya Katiba ya Warioba mana hao ndio wazalendo.
Ikiwezekana Wakina Mbowe ,Lema,Mdee, Msigwa na Mnyika na wengine nao wajiuzulu ubunge waibukie CCM.
 
Njaa haijawahi kumuacha mtu salama na pia hao ndiyo wasomi tulionao ati daktari asiye na msimamo anatofauti gani na houseboy au housegirl?
 
...[HASHTAG]#bulembo[/HASHTAG] kuna huyo mwingine Kaja huko

Ova
 
A real opposion leader and activist can't be employed at UDSM. Nilipomwona Kahangwa na Kitila pale UD nkajua hawa n wapinzani wa kuzuga. Wapinzan wa kweli kama Baregu waliondoshwa kwa figisu
 
Wanarudisha nyuma juhudi Za kuongezea nguvu upinzani... historia itawahukumu
Usijali kamanda hao wanaotoka ndio wanaimarisha upinzani. Kwa sababu hao wanaotoka ni watu wanaofatia fursa si wapiganaji na bahati nzuri wamempata mtu anaetowa fursa kwa wanafiki kama hao basi waachie wende,uko msemo wa waswahili unasema muwembe ukipukutisha majani makavu ndipo unapotoa majani mapya na kunawiri
 
Back
Top Bottom