Mtazamo wa Rais unaiangamiza Sekta Binafsi

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,131
35,174
Sio siri tena, awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imeiweka njia panda sana Sekta binafsi. Kwa sasa sekta binafsi inaandamwa kulipa kodi tu lakini haupewi nafasi tena ya kutoa huduma zake kwa serikali.

Msimamo wa juzi wa mheshimiwa rais kuhusu Vyuo vikuu binafsi ndio umepigilia msumari kabisa, kwa sababu umetoa mwanga kuwa rais anajisikia uchungu sana kuona bodi ya mikopo ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kwenda kulipia ada kwenye chuo binafsi wakati huo huo vyuo vya umma bado vina uhitaji wa wanafunzi.
 
Hii imeshakufa rasmi na kuifufua itachukua miaka mingi. Sekta binafsi ilikuwa inashamiri vizuri sana. Kaja na sera mfu na kuondoa 500 billioni kwenye mzunguko wa pesa nchini sasa sekta hiyo iko hoi bin taabani. Baada ya zaidi ya mwaka eti juzi BoT ndiyo wanatangaza kurudisha 400 billioni kwenye mzunguko wa pesa nchini! Too little too late! Maskini Tanzania yetu!

Sio siri tena, awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imeiweka njia panda sana Sekta binafsi. Kwa sasa sekta binafsi inaandamwa kulipa kodi tu lakini haupewi nafasi tena ya kutoa huduma zake kwa serikali.

Msimamo wa juzi wa mheshimiwa rais kuhusu Vyuo vikuu binafsi ndio umepigilia msumari kabisa, kwa sababu umetoa mwanga kuwa rais anajisikia uchungu sana kuona bodi ya mikopo ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kwenda kulipia ada kwenye chuo binafsi wakati huo huo vyuo vya umma bado vina uhitaji wa wanafunzi.
 
Kwa hili la elimu tumuunge mkono rais. Tusijali kupanuka kwa biashara ktk elimu bali tuzingatie ubora. Hakuna haja ya wanafunzi kwenda kwenye tu-vyuo twa uchochoroni huku vyuo vya umma vyenye sifa vikiwa bado na nafasi.
 
Sekta binafsi ndio Suluhu ya uchumi wetu,serikali ilijaribu kuendesha viwanda,mabenki,biashara(RTC),usafirishaji(RETCO,Kauma) ikachemka.

Tangu sekta binafsi ianze karibu miaka 30 iliyopita,kuna kampuni mpaka sasa zipo, zinaendelea,zingekuwa za umma zingeshakufa,anagalia tu TTCL wanavyokimbizwa mbio wakati wao ndio wakongwe

Angalia Tanesco wanavyohangaika wakati wateja wamejaa tele

Angalia shirika la posta, hakuna ubunifu wowote,hata wazo la kuvumbua teknolojia ya M-PESA badala ya ule mfumo wao wa TMO zamani walishindwa
 
Kwa hili la elimu tumuunge mkono rais. Tusijali kupanuka kwa biashara ktk elimu bali tuzingatie ubora. Hakuna haja ya wanafunzi kwenda kwenye tu-vyuo twa uchochoroni huku vyuo vya umma vyenye sifa vikiwa bado na nafasi.
Ubora wa chuo kikuu hapa Tanzania unapimwa na TCU Hayo maneno yakusema Vyuo fulani ni bora na vyuo fulani ni duni yangepaswa kutolewa na TCU maana wao ndio wana vigezoo vya kitaaluma vya kupima.

Ukweli ni mmoja tu kuna vyuo bora na vyuo hafifu na jambo hilo halijarishi chuo hicho ni cha Serikali au cha binafsi, na hili unaweza kulipima mtu binafsi. Kuna vyuo vina majina makubwa sana lakini ubora wa Elimu uko chini sana, na sote tunajua kutengeneza jina kubwa kuna hitaji muda wa kutosha.

Ni jukumu la serikali kupitia wizara ya Elimu na taasisi zake kama TCU kuhakikisha elimu inayotolewa katika chuo chochote kile hapa Tanzania ina kidhi viwango vya kitaaluma.

Kuwakejeli na kuwadhihaki wamiliki na wanafunzi waliosoma au wanaosoma vyuo binafsi ni sawa na kuliangamiza taifa, maana Sekta binafsi kwa sasa hapa Tanzania ndio imebeba huduma za Elimu na Afya. Kufanikiwa kwa sekta hii ndio kufanikiwa kwa Taifa letu.
 
Sio siri tena, awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imeiweka njia panda sana Sekta binafsi. Kwa sasa sekta binafsi inaandamwa kulipa kodi tu lakini haupewi nafasi tena ya kutoa huduma zake kwa serikali.

Msimamo wa juzi wa mheshimiwa rais kuhusu Vyuo vikuu binafsi ndio umepigilia msumari kabisa, kwa sababu umetoa mwanga kuwa rais anajisikia uchungu sana kuona bodi ya mikopo ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kwenda kulipia ada kwenye chuo binafsi wakati huo huo vyuo vya umma bado vina uhitaji wa wanafunzi.
Maamuzi ya Mheshimiwa Rais itasaidia kwa vyuo hivi kutoa elimu bora na vyuo vya kitapeli vitakufa natural death. Rais amesema wanafunzi wachague vyuo wao wenyewe hakusema wanafunzi wasijiunge na vyuo binafsi.
 
Sekta binafsi ni injini ya maendeleo... Huyu anadhani serikali na maamuzi yake ndo maendeleo yenyewe..!
 
wengi mnaompinga magufuli uwenda hamkuwah kufka chuo au mna chuki zenu binasf mfumo huu wa cas ni mbaya kwa sababu
1. ni rahisi sana chuo husika hasa private kuwaonga tcu hili wapate wanafunz kwa mfano, vyuo ving vya private ada ni kubwa mno so, wanafunz hawavichagui kwa hyo tcu ilkuwa inaforce kuingiza wanafunz.for instance st joseph ada ni 3m wakat course hiyo hiyo vyuo vya serkal ada ni 1.2-1.5m
2.kwa mfumo huu , tcu ilikuwa ya ajabu sana ,wanafunz wakifanya 1st round ya selection ,system inakwambia vyuo tayar vimejaa lakn ukienda pale tcu ukiwapa ela unapata chuo unachokitaka hili nna ushaid nalo kwa mtu asinibishie au km deadline ni tarehe 25 april ww ukiingia kwenye account yak ya cas saa 5:30 usiku tarehe 24 april vile vyuo ulikuwa ukiviona vimejaa unakuta bado kna nafas nying tu huu pia ni uhuni tcu ilikuwa ikicheza, kna rafk yang baba ni baloz wa tz nchi fulan yeye huyu ilipgwa simu tu na alipata chuo alitaka wakat kuna watu wana alama nzur tu ila hawakupata nafas

Mwisho kabisa nimlaumu mgaya kwa sababu chini ya uangaliz wak haya madudu yametokea ,sioni km phd yak ina mchango kwa taifa hili ,zaid zaid nlikuwa nasikia tuhuma za yeye kushirikiana na vyuo vya private kupiga dili tu
 
Sio siri tena, awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imeiweka njia panda sana Sekta binafsi. Kwa sasa sekta binafsi inaandamwa kulipa kodi tu lakini haupewi nafasi tena ya kutoa huduma zake kwa serikali.

Msimamo wa juzi wa mheshimiwa rais kuhusu Vyuo vikuu binafsi ndio umepigilia msumari kabisa, kwa sababu umetoa mwanga kuwa rais anajisikia uchungu sana kuona bodi ya mikopo ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kwenda kulipia ada kwenye chuo binafsi wakati huo huo vyuo vya umma bado vina uhitaji wa wanafunzi.
Rais kasema wanafunzi wachague vyuo wanavyo vitaka ili mradi wakidhi vigezo tuu.... sasa kama wakichagua vyuo binafsi si kazi ya Rais bali wasilazimishwe
 
Ubora wa chuo kikuu hapa Tanzania unapimwa na TCU Hayo maneno yakusema Vyuo fulani ni bora na vyuo fulani ni duni yangepaswa kutolewa na TCU maana wao ndio wana vigezoo vya kitaaluma vya kupima.

Ukweli ni mmoja tu kuna vyuo bora na vyuo hafifu na jambo hilo halijarishi chuo hicho ni cha Serikali au cha binafsi, na hili unaweza kulipima mtu binafsi. Kuna vyuo vina majina makubwa sana lakini ubora wa Elimu uko chini sana, na sote tunajua kutengeneza jina kubwa kuna hitaji muda wa kutosha.

Ni jukumu la serikali kupitia wizara ya Elimu na taasisi zake kama TCU kuhakikisha elimu inayotolewa katika chuo chochote kile hapa Tanzania ina kidhi viwango vya kitaaluma.

Kuwakejeli na kuwadhihaki wamiliki na wanafunzi waliosoma au wanaosoma vyuo binafsi ni sawa na kuliangamiza taifa, maana Sekta binafsi kwa sasa hapa Tanzania ndio imebeba huduma za Elimu na Afya. Kufanikiwa kwa sekta hii ndio kufanikiwa kwa Taifa letu.
TCU haiko imara, imeshindwa kuonyesha uthabiti wake. Ndiyo maana imekuwa ikitoa maamuzi tata hivi karibini.

Ni TCU hii hii iliyoruhusu wanafunzi wa kidato cha nne kusoma degree pale udom.

Ni TCU hawa hawa walioruhusu St Joseph kusaili wanafunzi wa kidato cha nne waliopata daraja la nne kusomea shahada mbalimbali.

Ni hawa hawa tcu walitoa tamko la kuzifuta shahada za wahitimu 3000 wa vyuo vikuu hivi karibuni na kuzua taharuki.
 
Maamuzi ya Mheshimiwa Rais itasaidia kwa vyuo hivi kutoa elimu bora na vyuo vya kitapeli vitakufa natural death. Rais amesema wanafunzi wachague vyuo wao wenyewe hakusema wanafunzi wasijiunge na vyuo binafsi.
Hakuna chuo cha kitapeli as long mamlaka ya kuserikali yenye jukumu la kusimamia imejiridhisha kwamba chuo kina kiwango kinachohitajika. Afterall, vyuo vyenu vyote ni vya kata, hakuna tofauti kubwa saaana ya vyuo vyote vya Tanzania. Ni jambo la ajabu badala ya kubuni mbinu na kutoa sapoti hivyo vyuo viwe bora yeye amebaki na mentality ya kuona kila private sector ni wababaishaji na wapiga dili. Kwanini hajiulizi shule zao bure lakini watu wanalipa milions kusoma Private Schools. Au huwa hana reasoning capacity ya trend ya matokeo haya?

Na nyie mnaetetea kila kitu ndio mnazidi mumpotosha. Tunalalamika kila uchao Kenya-Kenya, the guys walijenga private sector imara sio hii centrally planned economy anayoijenga yeye ambapo dunia kote imeshafeli.
 
Back
Top Bottom