Machame again? Am proud to be mwanamke wa Kimachame, wachaga maarufu kuliko wote, title tu inadipict kuwa Mmachame ni mwanamke strong, fighter, not ready to be oppresed, beautiful, intelgent and God fearing. Kwa yote hayo najua am marketable ni kiasi cha kuamua cuz pamoja na makelele yote ya kuwasema vibaya we still ROCK kuanzia hapa Jf mpaka mtaani! Wadada wote wa Kimachame hapa Jf thumbs up!! Teh!
hizo ni mila potofu na zakizamani sana.
mambo yamebaadilika sasa ivi, huyo mzee yeye hajabadilika kuendana na wakati?
wanawake wa kimachame mpo JF Pia . Tumekwisha!!!!!!!!!!!!!!!Machame again? Am proud to be mwanamke wa Kimachame, wachaga maarufu kuliko wote, title tu inadipict kuwa Mmachame ni mwanamke strong, fighter, not ready to be oppresed, beautiful, intelgent and God fearing. Kwa yote hayo najua am marketable ni kiasi cha kuamua cuz pamoja na makelele yote ya kuwasema vibaya we still ROCK kuanzia hapa Jf mpaka mtaani! Wadada wote wa Kimachame hapa Jf thumbs up!! Teh!
ha ha ha umenichekesha sana dada hapo umeongea tu ila nilitamani useme mbele ya kadamnasi mama yangu mimi ni mmchame pure na ninawajua vizuri sana na nilipata kuishi huko mama yangu mwenyewe hani support hata kidogo kuoa mmachame nioe mchaga mwingine yoyote sio mmachame au mkibosho huo ni ukweli kabisaaa wengi wao sawa ni strong sana na mnajituma na kwa kuleta maendeleo mko juu sana ila hamna kitu kinachoitwa love hili mmelikosa katika maisha na katika mahusiano cha muhimu tunatakiwa tuwe na mapenzi hayo mengine yatakuja baadae wengi wao hujifanya top in da house hili ni ukweli mtupu mama yangu pia ni top in tha house bahati mbaya tu my dad alifariki kipindi cha nyuma, si msemi mama yangu kwa ubaya ila anasema huwa inajikuta imemtokea tu na huwa hawapendi kuonewa onewa so hata kama wanawake wamekosea kamwe kuomba msamaha ni ndoto na pale mwanaume anapomkosoa hapo zogo ndilo linapoanza. anyway mtoa mada kasema labda siku hizi wamechange ni mtazamo wake ila nongea kwa uzoefu nilio nao mkuu. mkioana nyie nyie maisha yanaenda maana wanaume wa kimachame wameshazoea mambo hayo.
Hivi bado mpaka leo mnajadili makabila.................................!