Mtatiro(CUF), Nape(CCM) na Erasto Tumbo(CDM) "LIVE" on MLIMANI TV Leo saa 2 usiku

Wote Mtatiro na Nape wanakabiliwa na tatzo moja kubwa nalo ni they don't have "MIND STABILITY". Kwa upande wa Mtatiro huwa anapenda kuhamaki na kushndwa kutulza munkari wake kwahyo pa1 na spirit yake ya upambanaji hapaswi kupewa nafac kubwa ktk chama kwani anaweza kukchafulia chama. Kwa upande wa NAPE unstability yake inakuja from sisijei, kuomba nafac ya ugombea ubunge chadema(ubunge) na baadaye kupoozwa na u-DC na sasa uenezi.
 
Duh,mada ya leo bwana....utadhani debate ya....! anyway,hivi suala la mafuta kisingizio cha kwamba uarabuni sijui kuna machafuko sijui insurance nk. linatosheleza kuonyesha ufanisi?kwa nini serikali isipunguze posho na bajeti hiyo ikapelekwa kwenye hifadhi(reserve) ya taifa ya mafuta?
 
Aaaah,hall gani?????na ameanza lini?what i know alipata kazi REDET
Lakini last time kumsikia ni kwenye tume ya Rais ya kushughulikia mambo ya mikopo ya vyuo vikuu,,,ile tume ya watu 6 na yeye alikuwemo so cjui leo hii yuko wapi?.kuna mdau kani PM eti yuko IFM kama academic officer
 
Inawezekana,huyu ni mwalimu,alisomea Education na Mtatiro
Lakini last time kumsikia ni kwenye tume ya Rais ya kushughulikia mambo ya mikopo ya vyuo vikuu,,,ile tume ya watu 6 na yeye alikuwemo so cjui leo hii yuko wapi?.kuna mdau kani PM eti yuko IFM kama academic officer
 
Nadhan wapunguze kodi,maelezo ya Nnauye ni Nyepenyepe.......huwez kuuuza mafuta ya taa elfu 2
Duh,mada ya leo bwana....utadhani debate ya....! anyway,hivi suala la mafuta kisingizio cha kwamba uarabuni sijui kuna machafuko sijui insurance nk. linatosheleza kuonyesha ufanisi?kwa nini serikali isipunguze posho na bajeti hiyo ikapelekwa kwenye hifadhi(reserve) ya taifa ya mafuta?
 
Wakuuu tupene news za mpambano huo nepi kama kawaida yake kulopoka au yupo kwenye ufahamu wake wa nyuma. leo mgao zamu yetu i hate ccm
 
Duh,mada ya leo bwana....utadhani debate ya....! anyway,hivi suala la mafuta kisingizio cha kwamba uarabuni sijui kuna machafuko sijui insurance nk. linatosheleza kuonyesha ufanisi?kwa nini serikali isipunguze posho na bajeti hiyo ikapelekwa kwenye hifadhi(reserve) ya taifa ya mafuta?
Are you normal? Mbna unachanganya hbr, anzisha thread yako mbna unakuwa kama wale wazee wa Magamba.
 
Yani huyu NAPE sijui lini atakuwa na akili timamu muda wote porojo na propaganda i hate this man.
 
Are you normal? Mbna unachanganya hbr, anzisha thread yako mbna unakuwa kama wale wazee wa Magamba.

ha ha haaaa,imebidi nicheke...loh.hivi ulikuwa unafuatilia kipindi?thanks alot,usiku mwema mkuu.dah,JF raha tupu!
 
Umemtendea Ndivyo sivyo, nashauri ufute kauli yako. Hamis Dambaya ni mtangazaji mwenye balance.
Kama muongozaji wa kipindi ni hamis dambaya, inabidi tumbo na mtatiro wawe makini,

Jamaa ana mahaba na wanamagamba hadi amepitiliza.
 
Hahhahahaaaaaa,mdau umesahau kuwa huyu ndiye kazi yake iliyomfanya aache ukuu wa wilaya,kaibu wa itikadi na uenez
Yani huyu NAPE sijui lini atakuwa na akili timamu muda wote porojo na propaganda i hate this man.
 
Hahhahahaaaaaa,mdau umesahau kuwa huyu ndiye kazi yake iliyomfanya aache ukuu wa wilaya,kaibu wa itikadi na uenez
Anaeneza Itikadi ya CCM............Itikadi ya CCM ni porojo za "Nimewatoa hapa, nimewafikisha pale"....kwa niaba ya JMKikwete!
 
Wewe ongelea hizo vyeo vyenu vya CUF, vya UDSM usiongee kwa kuwa nilikuwa behind kumpa vyeo vyote hivyo, aliletwa ofisini kwangu na Daud Deo nimsaidie nikafanya hivyo kwa kuwapa fund na back up ya watu wangu wote wa UDSM, hakuwahi kushinda na anaogopa uchaguzi. Kwa vyeo vya CUF kama mwenyeketi ni Lipumba sishangai hata mkiokota mwehu akawa katibu mkuu.
Bahati mbaya sana nilidhani/tulidhani una hoja kumbe tatizo lako sii hoja! unachoonekana kukipigania huku siyo hoja bali ni personal attack.. bandiko lako linajieleza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom