muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
Matukio haya mawili yaliotokea zenj yanatoa maswala mengi kuliko majibu ya cuf
1)Ukimya wao juu ya kupigwa kwa mwandishi wa channel TEN labda kwa kuwa sio Mpemba?
2)Kutiwa Tindikali kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Mjini unguja, labda sio Mpemba.
na kunatetesi hakuna hata kiongozi mmoja wa Cuf angalau aliwahi kwenda kumuona Pale mnazimmoja hata Huku dar katika hospital na kumpa pole. jee huu ndio msingi wa ccuf?
kwa kuwa sio Mpemba ni muunguja?
tutegmee nini wakipewa nchi?
jee dk slaa hahusiki kutoa pole kama katibu hasa kwa huyu alitiwa tindikali ambae ni mtu mkubwa katika uongozi?