Mtatiro,bimani eti kweli cuf ni wabaguzi?hata dk slaa?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Matukio haya mawili yaliotokea zenj yanatoa maswala mengi kuliko majibu ya cuf
1)Ukimya wao juu ya kupigwa kwa mwandishi wa channel TEN labda kwa kuwa sio Mpemba?
2)Kutiwa Tindikali kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Mjini unguja, labda sio Mpemba.
na kunatetesi hakuna hata kiongozi mmoja wa Cuf angalau aliwahi kwenda kumuona Pale mnazimmoja hata Huku dar katika hospital na kumpa pole. jee huu ndio msingi wa ccuf?
kwa kuwa sio Mpemba ni muunguja?
tutegmee nini wakipewa nchi?
jee dk slaa hahusiki kutoa pole kama katibu hasa kwa huyu alitiwa tindikali ambae ni mtu mkubwa katika uongozi?
 
Wewe muhogomshungu ndio mbaguzi.
Muunguja na Mpemba ni mwili moja na kinachouma ktk mwili huo hata kamo unyusi au ukusha basi mwilimzima hupata maumivu.
Kwa hio usituletee shuki mulizozowea kuzipanda kwa wazanzibar ili kuwagawa na mupate kuwatawala zimeshapitwa na wakati, kwa nini husemi ni mzanzibar(mtanganyika?) au pipi ni Tamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom