Joshua Hagai
Senior Member
- Jul 8, 2015
- 111
- 20
Akili ya mtu anayeitwa mwana CCM huwa haina tofauti sana na akili ya karunguyeye.Vifo vingi vya karunguyeye hutokea njiani au katika mabarabara?
.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini?
.
Upeo wa kupambanua mambo huwasumbua sana CCM,Ndio maana nawafananisha na karunguyeye.
.
Kuteleza sio kuanguka,CHADEMA imefanya vibaya katika halmashauri mbili kwa kupata hati chafu kwa mujibu wa CAG.Leo wana CCM kwa upeo wao kama wa karunguyeye wanasema je,wangepewa nchi wangeweza?
Mimi nasema tungeweza zaidi tena maradufu ya nyinyi mlioshindwa miaka 55.
.
Mkurugenzi ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za halmashauri akishirikiana na waheshimiwa madiwani katika kutekeleza majukumu.
.
Mkurugenzi anateuliwa na rais na rais ametokana na chama tawala chenye ndumakuwili wengi.
Hivyo huwezi sema CHADEMA imeshindwa kusimamia halmashauri ilihali tunamkurugenzi aliyeteuliwa na rais,hujuma na ukwamishaji wa mipango mikakati ya CHADEMA katika halmashauri zinakwamishwa na watendaji wabovu wa serikali ya CCM.
.
CHADEMA TUNASONGA MBELE.