Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Tangu mwezi uliopita ninahisi kitu kisicho cha kawaida mwilini mwangu.
Asubuhi mashine haishtuki, nikitaka kupiga mechi na mama watoto wakati mwingine njema inagoma kupanda mtungi na wakati mwingine naibembeleza hazi zaidi ya saa nzima ndio iingie mzigoni.
Nlikuwa nakunywa pombe kali sasa nimeacha, nilikuwa napenda kuangalia sinema za ngono na zenyewe sasa siangalii tena. Lakini bado tatizo liko palepale.
Nilikuwa na pambano la nje, nimelipiga chini maana nahisi huenda linaniroga ili nisiwakewake kwa mai waifu wangu.