Mtanzania wa kawaida.....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
siku hizi nalisikia hili neno sana, hasa katika tv na radio, kwa mfano utasikia; mtanzania wa kawaida hafaidiki na madini ya nchi yake.......wakuu naomba ufafanuzi kidogo, mtanzania wa kawaida ni yupi??? na ambaye si wa kawaida ni yupi???
 
Nafikiri wanamaanisha walala hoi au wadanganyika au wanaamanisha average citizen kama mm
 
Wanamaanisha watanzania walio wengi. period.
Lakn, ni watanzania wote wanaoishi chini ya dola moja kwa siku, ambapo ndio wanao'constitute zaidi ya Asilimia 85 ya waTZ!
 
Wanamaanisha watanzania masikini ambao ndio wengi zaidi. Ni kweli watanzania wanaozunguka migodi hawafaidiki na masilimali hizo. Wageni ndio wanaofaidi rasilimali tulizojaliiwa na Mwenyez Mungu
 
Wanakusudia Mtanzania wa wastani? Maana ukiniambia "Mtanzania wa kawaida" nitategemea huyo asiye wa kawaida awe na miguu mitatu au kitu kama hicho kisicho cha kawaida.
 
hello to everybody over there!
next time when i get a chance i will be in the chat room to join with wanajamii.
 
hello to everybody over there!
next time when i get a chance i will be in the chat room to join with wanajamii.
Ni next tym gani tena unayosema, wakati tayari ushaingia?...
Karibu lakini, japo umepitia mlango wa uani!
 
Back
Top Bottom