Mtanzania Denmark ameua mkewe

Hii ni mbaya sana,kwa huyu Mtanzania kumuua mke wake. Halafu probably alimuoa huyu mwanamke ili apate uraia wa Denmark.
Halafu hili ni jambo ambalo linatokea zaidi kwa watu uneducated,watu of low social status,hasa Tanzania,kwa mtu kumuua mke wake kwa sababu za unfaithfulness.
Hakuna sababu ya kwenda jela kwa sababu hizi,kwa kufanya mambo,halafu kuona kwamba hakimu hakubaliani na wewe.
Hii ni kawaida kama hapa Marekani kwa wageni kuoa wanawake citizens ili waweze kupata Green Card,ambayo ni Residence Permit ya miaka kumi,ambayo inapatikana kwa urahisi kama ukimuoa mwanamke citizen.


Ganesh,
Long Beach,California.

1. Ganesh, jamaa hajawa proved guilty.By all accounts ushahidi unasemekana ku point kwamba huyu ndiye muuaji, lakini strange things happen in foreign countries, and every story like this has three sides, hers, his and the truth.We have some semblance of her story although we don't know it fully and will never know it because she is dead.But we have enough to get an idea.But we don't know much about his story.What is his story?

2. Haya mambo ya status Tanzania una data gani? Mbona tuna mifano mingi ya watu wa "highbrow" walioua Tanzania? Halafu familia yenu, hasa baba yako, mnaheshimika sana Tanzania kwa kuleta a classless society, sasa hii divisive talk ya kuwa talk down watu wa low status Tanzania ndio murderers inatoka wapi? Au kukulia Ikulu kumekufanya snob mazee?

3. Halafu hizi habari za kuona kila Mtanzania ana worship Green Card ni ulimbukeni ambao haufai kuendekezwa mazee, hasa kwa mtu who should know better kama wewe.Kama ni kweli haya mambo yametokea kwa nini unafikiri si kwa sababu ya matatizo ya kinyumba? Kuna ma culture clash na ma issue kibao ambayo yanatatiza hata ndoa za makabila/dini tofauti kati ya Watanzania na watanzania, sembuse Mtanzania na M-Dane? I have a friend who decided to go back to Tanzania this year, and he had a Green Card, and he was eligible to apply for American Citizenship, lakini kaktaa na kaamua kurudi nyumbani.Sio kila Mtanzania ana worship Green Card na kuishi nchi za watu jamani.

Hizi sweeping statements tuziangalie jamani.
 
Hilo jamaa naona lirudishwe Tanzania kwa ajili ya hukumu, huko Denmark lita-save.
 
HOW BRUTAL!
Inakuaje umfanyie mwenzio- mama wa watoto wako ukatili hivi? Kama mmeshindwana kwanini msiachane kwa amani tu? N ahuyu marehemu sijui kwanini alimfuata huyu kichaa nyumbani kwake!

i think the guy was just insane!!!! He is sick!!! He has done something very bad and for sure the brutality ya jamaa ilizidi ukawaida

I hope tutajua majina nk.

its a mental case aisee, huwezi chana mtu kichwa na uso ukiwa timamu!!
 
Circumstancial, na wamekaribishwa sana huko DK kama wakimbizi,sasa wayaone madhara yake.

Mimi nilifikiri umepata uhakika wa hio habari, hii bado haijawa proved,tusubiri jina na habari kamili na iwapo ikatokea sio Mpemba basi itakuwa Uungwana uje kuwaomba radhi.
 
Mwanza, Mwanza. Sukumas are lovers not fighters.
Huyo jamaa anatia doa watanzania wote haijalishi anatokea wapi.
 
This's what we call "Cowardness", guys, you don't hit a woman, PERIOD!, it's just not right.
 
Nimesikitika sanaaa! Yaani unamuua mwenzio na mna watoto? Sasa nani awalee? Upumbavu Mwengine ni aibu sana
 
jamani wanaume wengine matatizo nini hatima ya watoto mmh natamani ningekuwa hakimu nitoe hukumu ya kumnyonga hadi kifo
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi Amen
 
Inaonekana mtu akifanya criminality ulaya ,ni kabila sio nchi inasakamwa.nimesoma blogs nyingi it seems huyu ni msukuma ,na watu wamelaumu kabila,u cant believe hata suala la kuua albino limeingia hapa!

Huyu jamaa ameaibisha wazazi wake,family yake,kijiji chake ,wilaya yake na hata mkoa.Bado Waafrika
 
Waafrika wa Ulaya wengi bado wanaishi kiafrika!Kutaka kuwa na mabibi wa nje wengi,kuwa Macho men etc.Haiendi hivyo.Ndio maana nchi kama almost nusu ya wanawake wa kiafrika ni single mothers,kutokana na behaviour kama hizi.

Si ajabu Tanzania mtu mwenye madaraka/pesa ,akawa na wanawake 3 nje.Also hii inasababishwa na umasikini,Ulaya mwanamke toka Afrika,hawezi kukubali kuwa na mwanaume ambaye ana wanawake nje,maana hata kama hana kazi,serikali itampa mafao(benefit).Hii huwa in turn inaharibu watoto,ndio maana criminality kwa watoto kutoka single mother katika western countries ndio kubwa.

Civilised countries mwanamke ana choice.Hata kama ameolewa ,na kufall in love na mtu mwingine,itabidi amwambie mumewe ili wadivorce.Hakuna mambo ya kumpiga mwanamke,kumuua etc.Watu wanamove on!Je wangapi wanaume wa Tz wanaweza kukubali hii status quo.Lakini wao wanaweza kuwa na vimada as many as they can!

Huyu muuaji,ameilet down Tz huko Denmark ukifikiria kuwa wa Tz huko ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom