Mtanzania Denmark ameua mkewe

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
27-year-old mother of two chopped to death with machete by her Tanzanian husband

Source : Watanzania.dk
30-Oct-2009

Anne Holmstrøm, 27 mother of two girls, one and three years old, was slain with a 40 inch long machete by her husband, 35. The husband who comes from Tanzania and Anne met in 2002 during a trip to the country.

The suspect is now in police custody. In his statement to the police, the suspect has claimed that he cannot remember anything, but on a phone call to a friend three hours before his arrest, he confessed to killing Anne with the machete, that they received as a wedding present.

According to bt.dk, Anne Holmstrøm had left her husband because he cheated on her during a vacation in Tanzania last summer. He had also threatened many times to beat both her and her children to death.

Deputy Police Superintendent Henning Svendsen told bt.dk that the police knew about the threats, but Anne did not want him arrested or given a restraining order because she did not believe that he would get serious about the threats.

Anne had moved to her parents' house but on the weekend of murder had gone back the apartment she shared with her husband. The couple's two children who are being taken care of by Anne's parents were in kindergarten at the time of the slaying.

The murder was very brutal. The entire kitchen floor in the 61 square-meter apartment in Skovlyporten was covered with blood including all the walls. The bloody machete was found on the kitchen table in the apartment in Holte together with a bloody serrated kitchen knife when the body was found.

Anne Holmstrøm had apparently just entered the apartment when she was killed. She was still dressed in raingear, as the murderer, according to forensic experts, struck her at least 10 times in the face and scalp with the machete.

At around 15:15pm Monday neighbors heard a scream from the apartment and later in the day both a neighbor and the police were phoned by friends in Sweden who were worried about her. The husband had apparently called friends in Sweden and informed them that he had "done something foolish".

Later a neighbor went to the apartment and found Anne's body. The police were already on the way to the apartment and arrived a few minutes later. The accused was gone by the time the police arrived. After an intensive search, the husband was arrested at Tagensvej in Copenhagen. At the time of his arrest, he was armed with a large butcher knife, but he did not resist arrest.
 
HOW BRUTAL!
Inakuaje umfanyie mwenzio- mama wa watoto wako ukatili hivi? Kama mmeshindwana kwanini msiachane kwa amani tu? N ahuyu marehemu sijui kwanini alimfuata huyu kichaa nyumbani kwake!
 
Mwanaume baradhuli mkubwa huyu!!! Kuamua kumua dada wa watu sasa utakiona cha mtema kuni utafia jail mpuuzi wewe.
 
pambaff huyu kaharibu sifa ya tanzania na waafrika wote huko denmark
 
simsapoti kwa alilolifanya, ila ninaloliona ni sisi baadhi ya wachangiaji kumuhukumu kabla ya mkondo wa sheria kuchukua nafasi yake.

ninafahamu inauma kwani amechafua sifa nzuri waliyonayo kaka, baba na watoto wetu wa kiume wa Kitanzania ya Utu, Hekima na Msamaha kwa kutupaka matope ya uuaji.

ila ninaamini mkondo wa sheria kabla ya kumuhukumu lazima watampima akili ili kufahamu je alikuwa na akili timamu wakati akitenda jambo hilo la fedhea ambalo si asili ya wanaume wa kitanzania? huenda ni punguani ambae bado alikuwa ajatambulika hata kwa mkewe.

mwisho Mungu awajalie watoto hao wa marehemu maisha bora yenye furaha na mafanikio kupitia kwa walezi wao na kumpa pumziko la milele kiumbe wake aliyetangulizwa mbele za haki.
 
Huyu hata akihukumiwa ni sawa kabisa kwasababu ameua na ushahidi upo kwanini watu wasihukumu hata kabla ya hiyo official judgment? Hapa ndo unapokuja kukumbuka hata kauli ya Nyani ngabu " Miafrica ndo tulivyo" kwa wale wa Tanzania walioko Denmark inakuwa ni vigumu hata kujitambulisha kuwa unatoka Tanzania kwasababu tu ya upuuzi wa mtu mmoja.
 
Duh!! Huu ni unyama wa hali ya juu, yani huyu jamaa kawakosesha watoto wazazi.
 
simsapoti kwa alilolifanya, ila ninaloliona ni sisi baadhi ya wachangiaji kumuhukumu kabla ya mkondo wa sheria kuchukua nafasi yake.

ninafahamu inauma kwani amechafua sifa nzuri waliyonayo kaka, baba na watoto wetu wa kiume wa Kitanzania ya Utu, Hekima na Msamaha kwa kutupaka matope ya uuaji.

ila ninaamini mkondo wa sheria kabla ya kumuhukumu lazima watampima akili ili kufahamu je alikuwa na akili timamu wakati akitenda jambo hilo la fedhea ambalo si asili ya wanaume wa kitanzania? huenda ni punguani ambae bado alikuwa ajatambulika hata kwa mkewe.

mwisho Mungu awajalie watoto hao wa marehemu maisha bora yenye furaha na mafanikio kupitia kwa walezi wao na kumpa pumziko la milele kiumbe wake aliyetangulizwa mbele za haki.

Hakuna cha akili timamu wala baba yake he is a killer period. Huyu inawezekana ni mmoja wa wauaji wa aalbino sasa kaona mzungu akadhani albino. Shwain mkubwa huyu
 
Hii ni mbaya sana,kwa huyu Mtanzania kumuua mke wake. Halafu probably alimuoa huyu mwanamke ili apate uraia wa Denmark.
Halafu hili ni jambo ambalo linatokea zaidi kwa watu uneducated,watu of low social status,hasa Tanzania,kwa mtu kumuua mke wake kwa sababu za unfaithfulness.
Hakuna sababu ya kwenda jela kwa sababu hizi,kwa kufanya mambo,halafu kuona kwamba hakimu hakubaliani na wewe.
Hii ni kawaida kama hapa Marekani kwa wageni kuoa wanawake citizens ili waweze kupata Green Card,ambayo ni Residence Permit ya miaka kumi,ambayo inapatikana kwa urahisi kama ukimuoa mwanamke citizen.

Ganesh,
Long Beach,California.
 
simsapoti kwa alilolifanya, ila ninaloliona ni sisi baadhi ya wachangiaji kumuhukumu kabla ya mkondo wa sheria kuchukua nafasi yake.

ninafahamu inauma kwani amechafua sifa nzuri waliyonayo kaka, baba na watoto wetu wa kiume wa Kitanzania ya Utu, Hekima na Msamaha kwa kutupaka matope ya uuaji.

ila ninaamini mkondo wa sheria kabla ya kumuhukumu lazima watampima akili ili kufahamu je alikuwa na akili timamu wakati akitenda jambo hilo la fedhea ambalo si asili ya wanaume wa kitanzania? huenda ni punguani ambae bado alikuwa ajatambulika hata kwa mkewe.

mwisho Mungu awajalie watoto hao wa marehemu maisha bora yenye furaha na mafanikio kupitia kwa walezi wao na kumpa pumziko la milele kiumbe wake aliyetangulizwa mbele za haki.

Ukishaanza kwa kusema "simsapoti kwa alilolifanya" halafu ukasema kwamba watu wanamhukumu kabla mkondo wa sheria haujamuhukumu basically unalaumu kitu unachokifanya mwenyewe.

Humsapoti kwa alichokifanya, unajua alichokifanya ni nini, utajuaje kabla mahakama haijathibitisha? Kama hii story yote imetungwa utajuaje?

Ukitaka kuonyesha msimamo wa kutomhukumu mtu kabla ya mahakama, huwezi kuanza kwa kusema "simsapoti kwa alilolifanya" unless una first hand knowledge.

Unaleta double standards bin contradictions.
 
kuamua kumuua mama watoto wako ni ukatili ambao hauna kipimo
maana yake unaweza kuua hata wao wako au wazazi wako au jamaa yako yeyote
 
27-year-old mother of two chopped to death with machete by her Tanzanian husband

According to bt.dk, Anne Holmstrøm had left her husband because he cheated on her during a vacation in Tanzania last summer. He had also threatened many times to beat both her and her children to death.

Kakimbiwa kwa sababu alitembea nje ya ndoa. Nadhani alisahau kuwa kaoa mzungu ambao kwao ku-cheat kwa wanandoa hakuvumiliki. Kwa jinsi miafrika tulivyo, wanaume wengi waliooa wanaona ku-cheat ni jambo la kawaida sasa huyu kapeleka elements zake huko yakamshinda na kwa ubabe akachukua sheria mkononi na kumuua innocent woman (kosa jingine). Asubirie tu sheria ichukue mkondo wake na hili liwe funzo kwa wengine pia.
 
Back
Top Bottom