Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

Status
Not open for further replies.
What an untimely death,

Poleni sana familia ya Nzaro. Poleni washirika wote wa Ndalima. Poleni wote mlioguswa na msiba huu.

Ab-Titchaz, pole sana. I can feel your grief through your posts.

Kwaheri kaka Ndalima.

May the Almighty God rest your soul in eternal peace.
 
I feel for the fiancee and son. I went through EXACTLY the same difficult situation 3 years ago when I lost a person very dear to me in a car crash caused by some drunk driver. It is the worst thing to go through and I wouldn't wish it even for my worst enemy.
Ila Mungu yupo, kwa wafiwa, it won't make any sense now, actually at the moment it is probably infuriating to hear someone tell you "It is ok, God will see you through"...but He does, I am testimony to that. Ndalima will live on through his son.
Bwana ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Wana ndugu, Tunashukuru kwa pole na rambirambi zenu. Pia michango yenu inahitajika ili tuweze kumsafirisha ndugu yetu nyumbani na kukamilisha mipango ya safari hiyo. Tunahitaji mchango wa chochote utakachoweza. Tunawashukuru wale ambao tayari wameshafanya hivyo. Mbarikiwe.
 
Nitakuwa LIVE hapa ndani ya Bongo Radio na Salum Ndolanga na mambo mbalimbali yanayohusiana na msiba ikiwa pia na umuhimu wa watu kutoa michango kuwezesha kusafirishwa kwa ndugu yetu Ndalima.
 
Kuhani,

Asante kwa kunifariji mkuu mwenzangu.

Kwa kweli ukijumuisha ile ishu ya Walter na fiance
wake pamoja na hii, basi utaelewa why I have a heavy
heart.I cried for both these brothers coz I just got
overwhelmed asking myself why us?....Hali ya ukiwa ni
ngumu na samtaimu inakufanya ukate tamaa tu.

These senseless deaths have left me even doubting the
purpose of existence bearing in mind that these individuals
were the coolest chaps we had around here.

People going about their business doing everything right kisha
the cruel hand of death comes and scoops them from our midst.

Meanwhile sio kwamba naikosoa kazi ya mungu, lakini jamani.....?


Pole sana.
Sote tuko njia moja....hapa ni suala la kutangulia...
this world is not our home..we are just passing through..it is at times like these that we reflect on the whole purpose of our existance.What you have been through will make you reflect and shape your thinking about life and what you should do before your time comes. Inatisha lakini ndo ukweli.
Kwa wale wanao amini..mara zote tunashauriwa tuombe kifo chema tu..maana death comes in many different ways.
 
[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/msibawandali.MP3[/media]

Kwa mawasiliano:

Michango kwa ajili ya msiba huu inaweza kupelekwa moja kwa moja kwenya akaunti maalum ifuatayo:

Bank Of America:

A/C Name: Mboja Nzaro (Dada wa Marehemu)
Routing No. 072000805
A/C No. 5407722411

Mawasiliano zaidi Kuhusu habari za msiba huu wasiliana na wafuatao:

Anna Royal Mfinanga 248-778- 6395
Abdul Kufakunoga 248-515- 5509
Salum Ndolanga 248-796-1267
Philemon Mnzava 248-417-5015
Leo The Saint 614-426-3422

Msiba huu kwa Detroit unafanyika nyumbani kwa binamu yake Ayubu Mfinanga.
Anuani ya Kwa Ayub:

22255 Hessel
Detroit, MI 48219

MoDs, naomba muiacha hapa kwa weekend na ikipita muiunganishe na ile nyingine au vyovyote mtakavyoona. Asanteni.

NB: Kwa watu wengine unaweza kutuma link hii: pamoja na maelezo hayo hapo juu: [media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/msibawandali.MP3[/media]
 
Mungu ampe pumziko la amani, poleni sana familia ya Nzaro pamoja na wote mlioguswa na msiba huu. Ni jambo ka kusikitisha sana pale unapokumbwa na janga ambalo wala hauhusiani nalo, kweli kamba hukatikia pembamba. Mungu mwenyewe atawatia nguvu katika kipindi hiki kigumu...ila hili jambo lisifumbiwe macho lazima sheria ichukue mkondo wake tumempoteza mtz mwenzetu hivi hivi inauma sana.
 
Kutoka hapa nilipo tunapata shida kidogo ya reception. Nitachofanya nitarekodi mahojiiano na kuyarusha baadaye. Kumradhi.
 
Updates:

A/C Name: Philemon Mnzava ( jumatatu unaeza ukaongeza jina la Mboja Nzaro)
Routing No. 072000805
A/C No. 5407722411
Bank Location: Michigan

Swift Code: BOFAUS3N
 
Mipango ya kuuaga mwili wa Marehemu Ndalima Nzaro aliyefariki siku ya Alhamisi huko Detroit imethibitishwa. Dada wa Marehemu Bi. Mwamvita Nzaro ameiambia KLHN kuwa Kutakuwa na kumuaga marehemu siku ya leo ya Jumamosi majira ya kuanzia saa kumi na nusu za jioni. Pata taarifa zaidi hapa:



Please note and distribute the following addresses;-


1- Funeral Home Viewing Services - We expect to start 4.30 pm to 6.30pm

Haley Funeral Directors
24525 Northwestern Highway
Southfield, MI 48336
(248) 356-4800


Major Street: Northwestern Hwy (aka M-10 , aka Lodge Freeway ) and 10 Mile Rd

2- We will then gather at the following address ; Kuanzia 6.30 pm

Kensington Manor Apartments
33203 North Manor
Farmington Hills, MI 48336


Major Streets : Farmington Road and 9 Mile Rd

The occasion to bid Ndalima the final farewell would be used too to raise funds for the remaining arrangement to transport his body back to Tanzania for the burial. The trip will also include his son.

You can also listen to Ms. Nzaro's interview with KLHN by clicking here. The interview is in Kiswahili.
Sikiza hapa.
 
Wakuu wa JF,

I would like to make a personal appeal to each and everyone of you reading
this thread.Tumesh'kuru kwa yote mliofanya hususan kwa wakati huu wa majonzi
na kwa kweli maneno yenu yametufariji na kutitia moyo tusonge mbele.

Kwa sasa tunaomba mchango wenu wa hela ili tufanikishe kumsafirisha
marehemu nyumbani.Kwa wale mnaoweza tunashkuru na kwa wale wasioweza
tunamuomba maulana 'japo 'nekst taimu' mue na uwezo wa kuchanga.

Shukran.


n716609106_913947_8668.jpg


Marehemu Ndalima Nzaro akiwa na mwanangu Nicole Amboka katika basement yangu during one of those moments. R.I.P. Ndalima and I love you big.
 
n716609106_913948_9511.jpg


Hapa tulikua kwa Mboja Nzaro, dadake marehemu.In the backg'nd ni Salum Ndolanga
 
n716609106_913950_598.jpg


Wakati Zitto alipotembelea hapa.Marehemu is squating in the foreground
 
Mwanakijiji atakuwa LIVE ndani ya KLH News na Bongo Radio kuanzia 10:30pm CST au 11:30 EST kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusiana na msiba wa Ndalima.
hizi saa zinatuchanya sisi wa sehemu nyingine......ingekuwa vema kama ingekuwa mnaweka kwa saa za afrika mashariki.......pia hiyo itakuwa siku gani jumamosi au ijumaa(huko kwenu).

Poleni sana
 
n716609106_913966_8326.jpg


Akiwa na mkulu wa Chinga Networks Bw Salum Ndolanga nyumbani kwangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom