duh! kumbe ufahamu wenyewe wa viwanja ni kwa kutembelea na sio kwa ukaazi/kuishi viwanja!
mbona wa aina hii wako wengi tu, yaani wa kuhudhuria viwanja siku mbili/tatu kisha hao wanachomoka.
sasa watu wa aina hii, sina nia ya kudhalilisha, kusema wanavijua viwanja ni upotoshaji wa maana nzima
ya kujua maisha ya mahali walipotembelea.
rip carol
Mkulu Pasco tunaomba msaada najua upo karibu zaidi...
Ungekuwa na hii reverence usingeandika chochote kwenye thread in the first place. Huwezi kuanzisha usichoweza kukimaliza.
mhhh Kiranga, ,,, una hasira hasa!. Na wezako. Tulia mchukue points hizo. Habari ya kusema tunajifanya tumesafiri au kuona watu wenye low lives huko tulikoenda na wala kuwa tunafuatilia life ya watu siyo point hapa. Tuna-respond kwenye thread. Kama unasoma kwa makini na kuelewa; kuna watanzani wangapi wanakufa hapa bongo hawawi reported kwenye JF? Sina hakika kama unanielewa au unataka kuibisha kwa hija za nguvu ama hizo hapo juu....
Mwezano mwingine kadai hajui maana ya Stowaway. Nimemchukulia kwenye wikipedia-A stowaway is a person who secretly boards a vehicle, such as an aircraft, bus, ship or train, to travel without paying and without being detected. There are several different reasons for which a person might try to become a stowaway, among them free transport andillegal immigration.
Sasa kwa maana hiyo uliyoitoa wiki, na kwa kutumia akili zako za kawaida, unadhani bado kuna watu wanao 'stowaway' kwenda majuu?
illegal migration. Kibao.