TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

ukisoma secondary 2001 unamaliza 2008 kilichonishangaza ni mwamba kua na miaka 34 wakati miambo wote tuliomaliza huo mwaka mwaka kesho tunakua watu wa makamo kamili team 40 mwenzetu alituzunguka akaingia form one na miaka kumi
Mwamba si mchezo
 
Ana mdogo wake wa kike nadhani naye alienda Yale univ.
Namjua,mfupi hivi kadogo kadogo

kalikua kanapenda kaptula na kuvaa kiume

Kalisoma UDSM Computer Engineering

The funny thing is,watoto wote walipokua wanaendelea kukua ndio akili zilikua zinawazidi zaidi

Baba yao worked at TTCL kama engineer,he was the smartest guy there,ila very humble na mkimya

Mama yao ni very charming na mchangamfu sana

Hiki kifo kimeniuma sana aisee....I cant imagine maza wake ana-feel vipi...so sad!
 
Namjua,mfupi hivi kadogo kadogo

kalikua kanapenda kaptula na kuvaa kiume

Kalisoma UDSM Computer Engineering

The funny thing is,watoto wote walipokua wanaendelea kukua ndio akili zilikua zinawazidi zaidi

Baba yao worked at TTCL kama engineer,he was the smartest guy there,ila very humble na mkimya

Mama yao ni very charming na mchangamfu sana

Hiki kifo kimeniuma sana aisee....I cant imagine maza wake ana-feel vipi...so sad!
Yap ana swag za kiume hivi nilidhani nae alikwenda nje maana kipindi amemaliza kulikuwa na stori kama hizo
 
Nimemkumbuka Wende Amani kisamfu alikuwa best student necta. Na yeye alienda chuo marekani Stanford kwa scholarship. Na akapata kazi nzuri kule kule california.

Akafa kifo kisichoeleweka. Mwili wake ulikutwa tu kwenye appartment aliyikuwa anaishi california

Kwa nini Vifo vya hawa ma genious vinakuwa sio vya kawaida ?
Daah Wende Amani! Necta mwaka wetu kakimbiza huyu nadhani akapata Scholarship kwenda mambele! Kumbe ameshafariki?
 
Wabongo wanaongoza kwa kudakia habari kwa mbele na kuielezea kama wanaijua, wakiskia mtu kajinyonga hata bila kujua sababu wao watahitimisha kwa kusema ni mapenzi ndo sababu ya kujinyonga

Huyu wameshahitimisha kauwawa, mbane mmoja sasa akuthibitishie uone anavyorukaruka
 
Sasa ulitaka waseme ameajiriwa na nani? Sawa, ameajiriwa na Mwijaku basi uridhike.

Wacha Roho Mbaya na Wivu. Uchawi unakukaribia dogo. Utakuwa mchawi muda si mrefu.
Hakuna cha wivu wala uchawi kifo ni kifo tu kafa kama wanavyokufa wengine

Lengo la mwandishi ilikuwa tu tujue jamaa alikuwa mfanyakazi google
 
Back
Top Bottom