granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 2,273
- 5,342
ile ndege tuliyoambia imepotea kama sindano kulikuwa na ishu kubwa pia.Pengine kavumbua kitu bora zaidi hapo google na vile ni mweusi wamemzimisha na uvumbuzi wake wamepita nao, dunia hakuna wa kumwamini.