Mtangazaji wa tbc auliza inakuwaje mitandao inaachwa tu kukashifu watu?

na huyu je?
[video=youtube_share;1lSaLItmj-c]http://youtu.be/1lSaLItmj-c[/video]
 
Nilisikiliza kipindi hicho hakuna mahala alipoitaja JF, wakati mwingine tusiwafanye watu watoe povu hapa jamvini bila sababu ya msingi

Acha zako, kwa akili yako wewe unafikiri alikuwa anausema mtandao upi, wa Michuzi au Mjengwa? Hakuna kama JF, ni JF peke yake inayowanyima watu usingizi kwa sababu hapa katika kumkoma nyani giledi hakuna cha kumwangalia uso, ebo!
 
Nilisikiliza kipindi hicho hakuna mahala alipoitaja JF, wakati mwingine tusiwafanye watu watoe povu hapa jamvini bila sababu ya msingi
lakini kuna thread kama tatu hivi zimenzishwa humu zikimgusa GZ, jo vile wdau wanahisi jamaa kareact
 
Kwanza Mama Lwakatare sasa hivi G. Zakaria!...... JF someni alama za nyakati!
 
Kuna katabia kameota mizizi hapa JF yjadili hoja badala ya kujadili mtoa mada,watu wanakashifiwa au hawakashifiwi? Mara ngapi jk,Mwl Nyerere,Mkapa,Slaa,Zitto,mboe,Lipumba viongoz wa dini wanakashifiwa,hili ni jukwaa la wanadam so halikosi mapungufu? Hivi JF ya 2007 ndo hii ya leo? Kuukana udhaifu ni udhaifu mkubwa zaidi na kukiri udhaifu ni ujasir mkubwa,tuchague kuwa majasiri kwenye hili,Nani humu anaweza kujitwika dhamana ya member wote ya ku exercise haki yao ya kujieleza bila ya kuvunja wajib wa kuheshim haki za wengine,hoja ya mwandishi wa TBC ni udhalilishaji wa watu humu JF kama unaunga mkono au kupinga weka hoja sio kutumia escape goat kwa kumshambulia mleta hoja huo ni ulimbukeni wa Demokrasia!

kama unaona mtu anakuabuse ilipoti hiyo post au unamaanisha kuwa members wote humu na wewe ukiwemo huwa hawajibu hoja,ingawa mi naamini kumdescribe mtu ni moja ya njia zinazo tumika kujaribu kumjua mtu ki uwezo wa hoja na mengineyo.
 
Duuuh wewe ni mwongo tena umepitiliza..nimewatch kipindi hakuna sehemu ametaja jf isipokua wewe tu ume-make inferences zako mwnyw..
Alichosema yeye ni mitandao ya kijamii ambapo mtu anapost kitu hata kama hana uhakika nacho na kutaka wadau wachangie hata kama inachafua watu..sasa kama ni jf au facebook au mtandao mwingine ye hakusema specifically ila umejihisi tu..which again raises eyebrows.swali ni,kwann uhusianishe moja kwa moja na jf?Ama kuna ukweli watu mna abuse jf naww ukiwa ni mmojawapo kwa kupotosha hii habari ulopost?

wapi kasema Jf imetajwa kwenye hiyo post? Au ulitaka akapost face book, you tube, kwenye blogs zote ndo ungelidhika?
 
Duuuh wewe ni mwongo tena umepitiliza..nimewatch kipindi hakuna sehemu ametaja jf isipokua wewe tu ume-make inferences zako mwnyw..
Alichosema yeye ni mitandao ya kijamii ambapo mtu anapost kitu hata kama hana uhakika nacho na kutaka wadau wachangie hata kama inachafua watu..sasa kama ni jf au facebook au mtandao mwingine ye hakusema specifically ila umejihisi tu..which again raises eyebrows.swali ni,kwann uhusianishe moja kwa moja na jf?Ama kuna ukweli watu mna abuse jf naww ukiwa ni mmojawapo kwa kupotosha hii habari ulopost?

Inahitaji uwe great thinker ndio utaelewa vinginevyo utatokwa sana povu.
 
Jf tunapitiliza, mitandao ya kijamii ipo mingi, threads siku hiz zimekuwa za ku attack watu kuliko kujadiki mada. MODs hii kitu muangalie kwa umakini.
 
mtangazaji wa tbc 1,zakaria amemuuliza mkurugenzi wa tcra,ktk kipindi cha tuambie,wanazungumzia kuhusu kikoa(domain name).tz,kuwa kuna mitandao inatumika kukashifu wa2 mbona haifungwi,akasema mtu anaanzisha mada na kusema wadau mnasemaje? Ndio wa2 wanaanza kutukana watu.ila prof.nkonya akamwambia kama haikusajiliwa tz inakuwa ngumu,kuifunga,utaifunga tz,lakini kenya itapatikana.

Hata wakifunga kuna web unatumia ku-log in hizo site kwa mfano:

www.hidemyass.com
 
wote wanaoishambulia jf ni sisimizi,nataka jk siku moja alie kwamba jf inawataja vimada wake hadi first lady amewajua,hapo nitasema wameisoma!who is lwakatare?zacharia(huyu anatangaza huku kakodoa macho ya woga kama anapokea maelekezo flani)atleast msekwa aliyesema wazi jf inaikosesha kura ccm!
 
mtangazaji wa tbc 1,zakaria amemuuliza mkurugenzi wa tcra,ktk kipindi cha tuambie,wanazungumzia kuhusu kikoa(domain name).tz,kuwa kuna mitandao inatumika kukashifu wa2 mbona haifungwi,akasema mtu anaanzisha mada na kusema wadau mnasemaje? Ndio wa2 wanaanza kutukana watu.ila prof.nkonya akamwambia kama haikusajiliwa tz inakuwa ngumu,kuifunga,utaifunga tz,lakini kenya itapatikana.

Siku zote ukweli unageuka kuwa tusi kwa watu wenye uelewa mdogo
 
Siku zote ukweli unageuka kuwa tusi kwa watu wenye uelewa mdogo

wewe unaona kufungwa ndo pendekezo zuri la kutoa kama mtangazaji kuliko options nyingine? Hakuna mazuri yaliyofanywa na jf kuliko hizi accusions?
 
Duuuh wewe ni mwongo tena umepitiliza..nimewatch kipindi hakuna sehemu ametaja jf isipokua wewe tu ume-make inferences zako mwnyw..
Alichosema yeye ni mitandao ya kijamii ambapo mtu anapost kitu hata kama hana uhakika nacho na kutaka wadau wachangie hata kama inachafua watu..sasa kama ni jf au facebook au mtandao mwingine ye hakusema specifically ila umejihisi tu..which again raises eyebrows.swali ni,kwann uhusianishe moja kwa moja na jf?Ama kuna ukweli watu mna abuse jf naww ukiwa ni mmojawapo kwa kupotosha hii habari ulopost?

Hivi wewe aliyeanzisha mada kuna sehemu umeona kaandika JF ama unaweweseka ina maana jf si mtandao wa kijamii.Ama mimi sijui kusoma?Au mimi ni kipofu nini?Rudi la pili kujifunza kusoma usituharibie siku bure
 
amemuuliza TBC inafungwa lini kwa vile iko kwa maslahi ya chama tawala?
huyu bwana bora arudi RFA alikokuwa anapoteza muda TBC
ajue kwanza internet cannot be controlled but slightly regulated.
internet has no border,it disrespects territorial borders
NI JAMBO LINALOWAUMIZA KICHWA EU na US HADI LEO SEMBUSE TZ AMBAYO TEKNOLOJIA BADO IKO CHINI?
viva JF KWA KUENDELEA KUPASHA HABARI NA KUWAFUNGUA AKILI WATATANZANIA/
 
wote wanaoishambulia jf ni sisimizi,nataka jk siku moja alie kwamba jf inawataja vimada wake hadi first lady amewajua,hapo nitasema wameisoma!who is lwakatare?zacharia(huyu anatangaza huku kakodoa macho ya woga kama anapokea maelekezo flani)
Waite vyovyote vile utakavyopenda, lakini ni watu ambao wana ushawishi fulani katika jamii au wanafanya kazi au kutumikia vyombo vyenye aina ya ushawishi fulani kwa jamii! kuna mambo matatu ninayahofia kwa JF kuhusu haya ya hawa wawili:
1-Watu watajifundisha sasa kutoka kwao namna ya kuishambulia JF (inapeleka ujumbe kuwa Jf inaweza "kuingilika")
2-Kuna ambao wako nyuma ya hawa watu, yaani hawako peke yao.
3-Kuna kundi ambalo limekaa tayari wakati wowote mashambulizi dhidi ya JF yakianza kupamba moto tu, wataamka na kujiunga na mpambano dhidi ya JF.
Mkuu! Ku mu underestimate mpinzani/adui wako ni janga!
 
Hii forum watu wanatoa maoni yao. Kwa nini yeye inamkera watu kutoa maoni waliyonayo kwa uwazi. Hii nchi inaruhusu uhuru wa kutoa maoni, yeye ni nani kutaka kuminya uhuru huo. Ukiwa kanjanja ni tatizo kubwa.
Nijuavyo mimi, kwenye majukwaa haya, kama unaona mtu ametoa au kuelezea kitu ambacho kwa mtazamo wako unaona kwamba amekosea, wewe unachotakiwa kukifanya, na ndicho watu wote wanachokifanya humu hata akina Nape, nao wanaingia na kuelezea kwa jinsi wanavyoona wao ni sahihi hata kama wanajua kuwa wanachoongea ni cha uongo lakini wanajua kwamba hoja hujibiwa kwa hoja. Sasa ukikuta mtu kama huyo Zakaria badala ya kujibu hoja kwa jinsi zinavyotolewa humu yeye anakwenda kulia lia as if anapekechwa kwa watu ambao hawawezi kumsaidia, inashangaza sana na kutilia mashaka uweledi wake kama mwanahabari!
 
Back
Top Bottom