Mtangazaji wa habari za kijasusi atengeneza kipindi kuhusu swala la Escrow (Jicho Pevu)

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,697
68,684
Umofia kwenu wana JF,
Jana nilikuwa maeneo ya mpakani mwa tz na kenya ndipo nlipokutana na jamaa yangu ambaye ni mwandishi wa habari pande za nai,alinitonya kwamba mtangazaji wa habari za kijasusi Mohamed Ali alias Moha anaendelea kuandaa kipindi cha jicho pevu kuhusu swala la escrow,aliniambia kwamba jamaa alianza kufatilia tangia mwezi wa tano na anatarajia kurusha mwezi wa 12 KTN TV ambapo docs pamoja na ushahidi wote kukamilika.

Stay Tuned.
 
Ni habari za kipelelezi kaka!

Ujasusi ni kitu kingine tofauti!
 
KTN ni TV ya Kenya au Tz? Na km akitangazia Kenya kutakuwa na impact gani kwa Tanzania? Labda ni kwa sababu Singh amewahi kuiliza Kenya kupitia mkataba wa Goldnberg!
 
mohamed ali pamoja na usukunuku wake,sidhani kama atafanikiwa kuvuka boda na camera yake kuja kuhoji na kurekodi matukio yanayo husiana na swala escrow.

wakuu wa idara ya tz watamuwekea kauzibe.hawatamruhusu,watamfatilia unyayo kwa unyayo mpaka chooni.ila nitafurahi sana akifanya hivyo.heshima kwakomohamed ali wa KTN.
 
Mleta mada kaharibu...hii ilitakiwa kuwa breaking news pindi kipindi kingekuwa tayari kinarushwa hewani.
 
Umofia kwenu wana JF,
Jana nilikuwa maeneo ya mpakani mwa tz na kenya ndipo nlipokutana na jamaa yangu ambaye ni mwandishi wa habari pande za nai,alinitonya kwamba mtangazaji wa habari za kijasusi Mohamed Ali alias Moha anaendelea kuandaa kipindi cha jicho pevu kuhusu swala la escrow,aliniambia kwamba jamaa alianza kufatilia tangia mwezi wa tano na anatarajia kurusha mwezi wa 12 KTN TV ambapo docs pamoja na ushahidi wote kukamilika.

Stay Tuned.

naomba mawasiliano yake.
 
KTN ni TV ya Kenya au Tz? Na km akitangazia Kenya kutakuwa na impact gani kwa Tanzania? Labda ni kwa sababu Singh amewahi kuiliza Kenya kupitia mkataba wa Goldnberg!

Aisee yaani habari zako za ndani ukizisikia zimetangazwa mtaa wa pili hazina impact kwako??
 
Pre-info sio mbaya ili tuwe tayari kujua lini na tujiandae tayari ku-tune KTN kpindi kikifika.
Ni kama tunavyoambiwa sarakasi mjengoni zitaanza siku ya J4 tarehe fulani!

Back
Top Bottom