Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Wanajamvi naomba mwenye taarifa na mahali alipo mtangazaji wa zamani wa vipindi vya muziki katika televisheni ya CTN Rahma Aziz. Ni mmoja wa watangazaji wachache wabunifu katika vipindi vya muziki aliyewahi kuwepo Tanzania.

Yu wapi kwa sasa?
 
mmh..kapotea siku nyingi yule dada wa kiarabu..usikute kaolewa kazalishwa katulizwa..!
 
kwani mtu akiwa na hamu ya embe lazima umlazimishe atamani na pera,nanasi na papai?hao umewamiss wewe wengine kawaida wawepo wasiwepo mzuka!f.y.i huyo rahma aziz alikuwa anakimbiza japo katika media hakudumu kwa muda mrefu!
Khaa na atamani na Bungo pia. Huyo mtoto sasa ni -- Bungo--
 
Mbona wapo wengi tu hawakumbuki, kama vile Misanya Bingi, Vicky Msina, Nicky Ngonyani, Sunday Shomari, Kiyungi Nk.

Najua Misanya Bingi yupo UDSM anafundisha, Vicky Msina anafanya kazi BOT, Sunday shomari yuko Marekani VOA, Rahma AZIZ sijui ndio maana nikauliza
 
Rahma Aziz ndie aliyechanganyikiwa na Dube Nadhani dube hakuwa na time ya kumchukua nadhani aligonga tu akaacha baada ya kuambiwa mbele ni haramu

Maandamano yuko sahihi, Lucky Dume ndio alichanganyikiwa kwa Rahma akamuuliza umeolewa akajibu hapana, kisha akamwambia UISO (aliyekuwa promota wake kama sijakosea na kumleta Bongo) kuwa anatamani kumuoa Rahma so afuatilie taratibu za kutoa mahari kwao. Lakini naamini it was just a joke!
 
Back
Top Bottom