Umenifurahisha sana!Humphrey polepole
Ni mtangazaji gani anayekuvutia kwa kujitahidi kuzungumza kiswahili fasaha pamoja na kutamka vizuri maneno ya lugha ya kiswahili.
Maana siku hizi watangazaji wengi wana matumizi mabovu ya kiswahili sambamba na kuchanganya lugha nyingi kwa wakati mmoja.
Ally Saleh wa Zanzibar. Zamani alitangazia BBC.