Mtandao wa tiGO badilikeni

Seekype

Member
Aug 5, 2010
21
0
Mimi nimekua nteja mzuri sana wa tigo kwa miaka kama nane hivi tangu nipo shule hadi nafanya kazi na kuanza familia.

It was reasonably cheap kwa kweli for all those years and maybe it still is. Ila jamani tangu juzi ifikapo saa 11 jioni au hata mida ya mchana lunch time utaona network ipo jammed. Ukipiga simu Tigo to Tigo haziendi, Message haziendi hata vocha haiingii.

I hate Tigo imenikosesha dili la maana because someone couldnt reach me. na nna uhakika wengii imewagharimu.

Good bye Tigo mi si mteja wenu tena..

Cheap is surely expensive
 
Don't hate you should always learn to have PLAN B in case PLAN A fails kuna VODA,ZANTEL, ZAIN, SASATEL, TTCL,
 
Recently wamekuwa na matatizo i asked one of my friend who works there akaniambia ni kweli of lately there has been some problems nilishangaa aliponiambia demand na ongezeko la wateja limekuwa kubwa
 
Finest..I have plan B....another line..ila sasa kwa sababu tigo ndo line yangu ya kwanza najikuta mtu akitaka contact ndo nampa hiyo namba..I better get rid of it niisahau kabisa akilini.

Unaweza ukapata shida kubwa simu ikaku-let down maisha yako yote yakabadilika.

Haya makampuni kama mna-project mtapata wateja zaidi then do something about your capacity. hamna kitu kibaya kama kum-frustrate mteji na kumpoteza..kumrudisha ni ngumu sana
 
Afu wakati wenzao wanaongelea almost free internate services wao wanakomaa Tsh1500, hawajui waliowapa umaarufu ni vijana na wanafunzi ambao ndo watumiaji wakubwa wa mtandao. I'm sure kama wataendelea hivi is the matter of time wata poteza soko.
 
Mimi mtando wa tiGo ulishwahi kunicost kama mara mbili hivi.....watu wanakupigia lakini hupatikani na simu yako iko hewani. Na hii kwa TiGO inatokea mara nyingi sana.

Ikabidi nifanye uamuzi wa kuachana nao na kujiunga na Vodacom......huku naona connection time ni reasonable na pia hakuna drop calls kabisa.

Naona hata internet cost & speed ni reasonable sana with Vodacom, na hivi Invisible katuwekea mobile version ya jf basi mwendo ni tambarare kabisaaa!!
 
Back
Top Bottom