Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,787
Kwenu Tanzania daima:
Ni siku ya sita sasa kila nikifungua mtandao wa Tanzania Daima (Tanzania Daima - Sauti ya Watu) naona una virusi.
Nimejaribu kompyuta tatu tofauti naona tatizo ni hilohilo, Hili tatizo halikuwepo siku za nyuma.
Nimeweka hapa hili tangazo hili mrekebishe hilo mkiweza.
Sijawatumia e-mail moja kwa moja, kwa sababu hakuna e-mail yeyote niliyoishawahi kutuma (kwa miaka 2 sasa) nikajibiwa hata zile nilizotoa information muhimu kabisa.
Hii sina tatizo nalo nilishaconclude kuwa mna poor customer care!
waberoya