Mtandao gani wa simu uko poa???

Voda kwangu ndio dili, tena kwa mwendo wa 3G.

Kikubwa angalia sehemu ulipo mitandao mingine inazingua kwa hiyo tumia unaokubali kulingana na eneo husika bila kujali ishu ya bando, ili usipitwe na mambo kemkem hapa platform
anha asante...
 
Mambo zenu,

Am so down yani,nina TTCL,HALOTEL,AIRTEL,TIGO ila hakuna hata line moja nayoifurahia huduma zake esp za data.....

Yani speed zao ziko very very low,naexperience unstable connection hadi natamani kulia...

Mambo yangu yanaenda slow pia saabu ya mtandao mbovu...

Wale wa voda vipi huko wenzangu,nihamie au nako magumashi???

Wale wa smart je,kukoje huko???

Jaribu Mtandao wa TCRA.
 
Back
Top Bottom