Udini, ukanda na ukabila ndio slogan maalum ya kundi la PM7 kwa mujibu wa ushahidi uliowatoa mafichoni kundi la masalia.
Na hii ID za Pilitoni na Ally Kanah ni mojawapo ya ID 20 zinazofanya kazi maalum hapa JF kwa niaba ya kundi la uasi la PM7 ili kuhakikisha kwamba bosi wao anapewa kila aina ya utukufu wakati hastahili kabisa kuendelea kuaminiwa kwa haya aliyoyafanya.
Je umahiri wa kujenga hoja ndio matokeo ya kuanzisha kundi la PM7?
wewe na wenzako mupo kwenye kazi maalumu ya kumchafua zitto,mpango wenu upo mikononi na mutaumbuliwa muda si mrefu.