Masalia PM7 munachekesha munavyofurukuta mkasafisha huyu mweshimiwa mr Matunguri Zitto kwa kauli yake muuwa mapanya ha ha ha too late hata mumkoshe kwa jiki mchawi yule yu mtupu by the way masalia mumesikia Lema karudi kwa kishindo anataka aondoke amesimama hapati hiyo nafasi mumiani wa kisiasa zitto
Hata jembe la kuchimbia watu wakitaka kunya porini ni jembe so inategemea zitto ni jembe lipi
Hapo ndipo ninapomdharau Zitto kama ninavyowadharau viongozi wangu wa sasa wa CCM hususani Nape na Mwigulu kwa kupoteza muda mwingi na pesa nyingi kuwanunua ''Desperated politicians'' kutoka Chadema.jamaa kwa kununua wafuasi yupo fiti
Mtapata shida sana nyie, hao akina wenje,mnyika,nassari,msigwa, mbilinyi,Lissu, Slaa ni WACHAGA!???? siasa za hivyo hazina mashiko tena na zimeshachuja, na hakuna aliyekataa kama Zitto ni jembe
eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!!
Zitto ni mroho wa madaraka ,mnafiki na mshirikina sana
Nasema tena: Zitto bado ana fursa ya kukua ndani ya CDM na sijamdelete bado pamoja na yote hata.
Tatizo langu kubwa ni hawa wapambe, wanachefua sana. Hivi Zitto akiwa rais hawa si ndio watakuwa washauri wake???
Kama unaongelea ubora wa Zitto kuna ulazima gani wa kubomoa wengine?? Mnyika, Wenje, Sugu n.k wanaingiaje kwenye hoja ya umahiri wa ZK??
ZK talk to your boys: hakuna haja ya kukutetea acha hiki kimbunga kitulie then come out humbly na waeleze viongozi wenzio yote unayoyajua kisha kubali ushauri wao na maamuzi yao.....
Usifanye kosa la kutoshughulikia jambo hili maana linaweza kutulia lakini mark my words, litakuandama siku za usoni na wapinzani wako watalitumia kama kuna siku umetapata fursa ya kugombea uongozi wa juu iwe kwenye chama ama kwingineko....
Sijui ni jembe la kulimia mitishamba au nini?
Mbona mnatumia nguvu nyingi kumsafisha? Kwani sisi hatuna macho?
zito kile kijembe kidogo cha bustani ,shamba kubwa halitumiki
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Mkuu is this necessary...?!!!!Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,!