Mtajiju

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Sasa uchaguzi umekwisha tunakwenda na mwendo wa utajiju stili ambapo
1. Mgao wa umumu kama kawa
2. Mgao wa maji kama kawa
3. Majembe bararabarani kama kawa
4. Sticker za fire kama zamani
5. Mashimo barabarani kama 1947
6. Machinga kufukuzwa kama zamani
7. Watoto kufukuzwa kwa ajili ya michango ya shule
8. Bei ya mafuta 1800 kama Kongo
9. Foleni Barabarani kumsubiria mama wa kwanza apite kama US
10.Safari za nje kwa Mkulu wa nchi kama kawa
11.Kupotea kwa wabunge wetu majimboni na kuhamia DSM kama enzi za Sapi
 
hicho hapo kwenye blue ndio nini?
 
Huo ni umeme ndugu yangu, na bado kulala mzungu wa nne temeke, na amana
 
Aaaaahahaaaaa Pretaaaaa, masharubu huwa hayawashi ila yanahasisha. ila nimecheka sana
 
Hayo ni baadhi ya matatizo uliyoyaona, yako mengi yanakuja, mliyataka wenyewe msilalamike. Mimi na bakia hapa:pray2:
 
ndiyo maisha tuliyozoea mpaka siku nitakapokuwa rais nitaweka sawa kila kitu, nitagombea 2020
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom