eddychingy
Member
- Apr 20, 2015
- 93
- 7
Dah mitaji mikubwa, wengine laki tano tu ndo tunaizungusha
habari.
unaweza tengeneza hiyo tena hata chini ya hiyo mil 3.
kupitia google adsense.
nitafute tuongee call 0713774746
Mkuu ni vema ukatushushia Nondo tu hata bila ya kudai Cv,maana hiyo itatufaa wengi humu.Nipe cv yako nikushauri ipasavyo. Mimi ni mtaalamu aliyebobea biashara na uchumi
Bonge la Wazo nitakuja nilitumie mimi hili wazo.mkuu chukua nguo za mitumba grade A Kwa lobota mfano vitop, magauni, mashati ya kiume....then tegeshea wakati wa boom vyuoni mfano SUA, SAUT, MZUMBE, tembeza mzigo chumba hadi chumba...inalipa mbaya...nguo unainunua buku 3 kule unaiuza hd 15
NJOO MKURANGA ULIME MATIKITI MAJI BAADA YA SIKU 70 - 90 UNAVUNA (miezi miwili na nusu hadi mitatu unavuna) INALIPA
=> WEKA KICHWANI, UKILIMA TIKITI LIKIKOMAA PINDI KUNA MATUNDA MENGINE hasa maembe na nanasi HUKOSA SOKO hasa mwezi DECEMBA hukosa bei sababu ya matunda ni mengi sokoni maembe na nanasi
KILA LA KHERI
UKISHINDWA LA MAZIWA
=> FUNGUA DUKA LA NGUO ZA WATOTO UMRI WA MIAKA 0 - 4, NA VIFAA VYAO KAMA PAMPAS,MIDOLI, HIZI NGUO ZINA WATEJA KIBAO,
=>WATOTO HUZALIWA KILA SIKU
=>WATOTO WA KWANZA KTK FAMILIA HUNUNULIWA NGUO HATA BILA BUDGET
=>WANAUME UNAWEZA MPIGA BEI YOYOTE, KWANI WANAUME HAWANA UTAMADUNI WA KUNUNUA NGUO ZA WATOTO MARA KWA MARA.
=> Angalizo usifungue duka la nguo za watoto vichochoroni
=> FUNGUA sehemu ZA MIJINI, KARIBU NA HOSPITAL ZA MKOA AU WILAYA, nk
masamchris dah asante sana mkuu, ila kusafirisha maziwa si yanaweza kuharibika mfano kama unataka kuuza fresh iliyochemshwa! Pia usafiri unapatikana 24/7 ? Pia je maziwa huko ni ya uhakika 100% ? Samahan kwa maswali mengi ila naomba majibu yake
Wanajamii mie nimebahatika kupata hicho kiasi cha hela ila sijajua nifanyie biashara gani kwa hapa Dar ambayo itakuwa inazalisha vizuri zaidi? Mwenye idea naomba anijuze
=> USAFIRI UPO WA UHAKIKA MWAKA MZIMA,
=> KUHARIBIKA HAYAHARIBIKI KWA KUWA HUWA WANAKAMUA KUANZIA SAA 10 usiku mpaka saa moja au saa mbili kasoro YANAFIKA MBAGALA
=> KUMBUKA YAKISHAFIKA HUWEKWA KWENYE FRIJI ILI YASIGANDE, AU KUYACHEMSHA YOTE NA KUANZA KUSAMBAZA KWA MAHOTEL NA MAMA NTILIE AU CAFE
=> Maziwa yanapatikana mwaka mzima, huku kuna wasukuma wanamifugo mingi sana,
=> ULIZA SWALI JINGINE KAMA UNALO
=>
Mkulanga ipo mkoa ganiii?
Masamchris Nina shamba bigwa mbele ya mkuranga ni kama Mwaka Wa tatu toka nimelinunua sijalifanyia chochote naomba nijulishe kuhusu kilimo cha matikiti