Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness
Nunua boda boda 2, moja endesha mwenyewe nyingine mpe mtu awe analeta hesabu.